Naona ndo mfumo wao labdaSaa nyingin hawana hata presha ya uwingi wa watu lakn mwendo ndo huo huo "toa point zako tano tano umalize utoke 🤣🤣" hakuna kujitetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ndo mfumo wao labdaSaa nyingin hawana hata presha ya uwingi wa watu lakn mwendo ndo huo huo "toa point zako tano tano umalize utoke 🤣🤣" hakuna kujitetea
😂😂😂We subiri siku wajikoroge nitataja hata point 30Ila twende nao vile wanataka maana wao ndo mabosi mwendo wa kumeza point 5 hakuna longo longo 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] unapumzi ya point 30 [emoji23][emoji23] pumzi ya soda Kila swali point 2 mbili unaishiwa vitu[emoji23][emoji23] kigugumizi Cha kiingereza kinaingia[emoji23][emoji23][emoji23]We subiri siku wajikoroge nitataja hata point 30
😂😂😂😂Siku wakitoa ninayo yajua watajuta[emoji23][emoji23][emoji23] unapumzi ya point 30 [emoji23][emoji23] pumzi ya soda Kila swali point 2 mbili unaishiwa vitu[emoji23][emoji23] kigugumizi Cha kiingereza kinaingia
[emoji23][emoji23][emoji23] watakuwa wanakuhesabia tu zao tano,,kosa swali lingine uwe nazo mbili ,utashangaa next qns [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku wakitoa ninayo yajua watajuta
Kama utaweza kuongea mpaka mkafanya majadiliano na panel ujue utawin, nilishawah kupata kazi private mara mbili baada ya majadiliano na panel, yaani swali moja wanakuongezea mengine kwenye swali Hilo hilo
Lakini nadhani hiyo ni nzuriMara nyingi oral za private sector ndio zinakuwa hvyo. Unaulizwa kulingana na unavyowajibu maswali yao.
Pia, imeshanitokea hadi nikajiuliza hawa jamaa hawakujipanga nini.
Ile michakato tuwaachie tu wenyewe ndo wanajua wanachofanya.. kikubwa tuendelee kumtanguliza MunguWanaanza upya kabsa na hata maksi zenu za written wanakuwa hawazitambui pale.
Kwa kifupi mkishaingia oral wote mnakuwa na chance sawa ya kupata kazi, ni wewe sasa kuanza kuzipunguza mpk zistoshe😅😅
Airport kuna security wa aina mbalimbali waolinsa maenao ya nje ni jkt na polisi wa kawaida TAA security mara nyingi wapo kwenye scanner za kukagulia mizigo na watu mfano staffs na abiria, TAA security nzuri tena soft haina shida sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh Kaka kwanza ulinzi ?ulinzi wa airport ni sawa na daktari mzee
Kuna panel zingine ni wastaarabu sana.. wakiona unawrong wanakusahihisha kuwa tunataka vitu gani... Waungwana sana nadhani mpaka interviewer inakuambia hvyo basi kukaelewa sana na anataka usipotee ili nawe ulambe Asali😁😂😂😂😂Kuna vitu wanatoa pale mpaka unajiuliza mpka hili?
Siku moja nimeenda nikaulizwa themes of geography"aseeh sinikataja advantage za geography 😂😂😂😂Kumbe nimepotea
Sio uongo typically kuna ule uongo unaendana na ukweli huo ndo tunaongelea na pia Kuna jibu unatoa yani hauna hakika kama ni sahihi au uongo ndicho tunakimaanisha
Yes ni kazi nzuri sanaAirport kuna security wa aina mbalimbali waolinsa maenao ya nje ni jkt na polisi wa kawaida TAA security mara nyingi wapo kwenye scanner za kukagulia mizigo na watu mfano staffs na abiria, TAA security nzuri tena soft haina shida sana.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Sure wakiwa waungwana au wamekuelewa wakiona unapotea wanakusahihishaKuna panel zingine ni wastaarabu sana.. wakiona unawrong wanakusahihisha kuwa tunataka vitu gani... Waungwana sana nadhani mpaka interviewer inakuambia hvyo basi kukaelewa sana na anataka usipotee ili nawe ulambe Asali😁
Kutana na sisi watu wa sheria...kuna swali kama hujalisoma na kujikumbushia hauwezi kujibu. Sheria ni kama hesabu, kama haujui hicho kitu hata upewe saa nzima hautembei.Sure wakiwa waungwana au wamekuelewa wakiona unapotea wanakusahihisha
Kweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tuKutana na sisi watu wa sheria...kuna swali kama hujalisoma na kujikumbushia hauwezi kujibu. Sheria ni kama hesabu, kama haujui hicho kitu hata upewe saa nzima hautembei.
pia sheria ni pana sana...kujua watatoa angle ipi ni ngumu sana. Ila ukiwa una practice sheria ni rahisi kutoboa kuanzia written hadi oral, maana wanauliza mambo yale yale.
Iko njiani mkuu kuwa mvumikivu tuPdf ya placement imetoka, taasisi yangu sijui pdf limeliwa na virus?!!!
Kweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tu
Nadhani ocean orci wizy ulikua unaisubiria kama sijakosea ,kazi kwakoKweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tu
Naona wamelala jamaa wakiamka asbh watakuta wamelamba asali hukuTayari huku mtupe mrejesho humu