Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama utaweza kuongea mpaka mkafanya majadiliano na panel ujue utawin, nilishawah kupata kazi private mara mbili baada ya majadiliano na panel, yaani swali moja wanakuongezea mengine kwenye swali Hilo hilo

Mara nyingi oral za private sector ndio zinakuwa hvyo. Unaulizwa kulingana na unavyowajibu maswali yao.

Pia, imeshanitokea hadi nikajiuliza hawa jamaa hawakujipanga nini.
 
Ile micha
Wanaanza upya kabsa na hata maksi zenu za written wanakuwa hawazitambui pale.

Kwa kifupi mkishaingia oral wote mnakuwa na chance sawa ya kupata kazi, ni wewe sasa kuanza kuzipunguza mpk zistoshe😅😅
Ile michakato tuwaachie tu wenyewe ndo wanajua wanachofanya.. kikubwa tuendelee kumtanguliza Mungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh Kaka kwanza ulinzi ?ulinzi wa airport ni sawa na daktari mzee
Airport kuna security wa aina mbalimbali waolinsa maenao ya nje ni jkt na polisi wa kawaida TAA security mara nyingi wapo kwenye scanner za kukagulia mizigo na watu mfano staffs na abiria, TAA security nzuri tena soft haina shida sana.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂Kuna vitu wanatoa pale mpaka unajiuliza mpka hili?
Siku moja nimeenda nikaulizwa themes of geography"aseeh sinikataja advantage za geography 😂😂😂😂Kumbe nimepotea
Kuna panel zingine ni wastaarabu sana.. wakiona unawrong wanakusahihisha kuwa tunataka vitu gani... Waungwana sana nadhani mpaka interviewer inakuambia hvyo basi kukaelewa sana na anataka usipotee ili nawe ulambe Asali😁
 
Sure wakiwa waungwana au wamekuelewa wakiona unapotea wanakusahihisha
Kutana na sisi watu wa sheria...kuna swali kama hujalisoma na kujikumbushia hauwezi kujibu. Sheria ni kama hesabu, kama haujui hicho kitu hata upewe saa nzima hautembei.

pia sheria ni pana sana...kujua watatoa angle ipi ni ngumu sana. Ila ukiwa una practice sheria ni rahisi kutoboa kuanzia written hadi oral, maana wanauliza mambo yale yale.
 
Kweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tu
 
Kweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tu
Kweli hata sisi Kuna maswali ambayo unaulizwa labda methods zakutreat kitu fulani huwa hazina kutunga kama hujui ni hujui tu
Nadhani ocean orci wizy ulikua unaisubiria kama sijakosea ,kazi kwako
Utupe na mresho kama umelamba asali😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…