Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 482
- 1,076
Wizy njoo utoe ushuhuda wa statusTayari huku mtupe mrejesho humu
Aje atupe ushuhuda wa status kwa web na app,Nadhani ocean orci wizy ulikua unaisubiria kama sijakosea ,kazi kwako
Utupe na mresho kama umelamba asali[emoji16]
Duh pole mzee ila skilizia uskate tamaa maana naona hata system admin hamna mtuSissi wa ega kimeumana tayar nafas mbili network kachukuliwa mmoja means Ata database hatupo
Status ndo kupita mi sjui
Ngumu ntakuja kuchanganikiwa status hazieleweki
Ka hamna nishatokaDuh pole mzee ila skilizia uskate tamaa maana naona hata system admin hamna mtu
Dah wamezingua Sasa nafas mbili wanachukua mtummmoja means Ata database hatupoSo huenda mkapewa taasis nyingne si unajua ega wanatka umoto sana
Noma sana sjui wameamuaje utumishi sio poa....ila mi naamini watawtupia taasisi nyingne huko mbelenKa hamna nishatoka
Dah wamezingua Sasa nafas mbili wanachukua mtummmoja means Ata database hatupo
Lijendi aje atupe mrejesho mrija wa asali unazidi kua mgumu.Dahh, ubusy wa kijiweni plus kufuatilia mpira kumbe mzee wa Flash anasherehekea kutolewa kwa Brazil na kaPDF..
Hongereni wote mliopata mrija wa Asali.
wizy nina imani umetoboa
Ni sawa tu, kama alifanya vizuri kwenye saili hizo zote, ni haki yake kufaulu.Kuna wt wana bahati pia wko vzr jamaa alipata kwa mwanasheria,akapata otr leo nimemuona tena ega duh sf sn
Taasis gani?Pdf ya placement imetoka, taasisi yangu sijui pdf limeliwa na virus?!!!
Tunakusubiri utekeleze mkuuSiku nikitoboa oral nitajaribu kutoa miongozo na changamoto nilizoziface wakati wa oral
Inshallah
Connection pia usisahau,,,mimi nina jamaa yangu mishen Town jana Jkci namuona kwa mkeka .Kuna wt wana bahati pia wko vzr jamaa alipata kwa mwanasheria,akapata otr leo nimemuona tena ega duh sf sn