Kenfurah
Senior Member
- Jan 23, 2019
- 113
- 321
Kuna muda ilikua inagoma, saivi inakubali. Nafikiri kuna kitu walikua wanafanyia kaziVipi kwenu ajira portal app inafungua? Naomba muangalie nipate feedback
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda ilikua inagoma, saivi inakubali. Nafikiri kuna kitu walikua wanafanyia kaziVipi kwenu ajira portal app inafungua? Naomba muangalie nipate feedback
Kuna watu 3 ninaowafahamu wamepata. Mmoja tayari alikuwa kashapata kwenye placement ya MUHAS jana pia kapata.Naona kuko kimya au hamna hata mmoja aliepenya katika pdf ya jana
Kongole kwao...ukifika oral uhakika unakua mkubwa tuendlee kupambana tulio benchi tuskate tamaaKuna watu 3 ninaowafahamu wamepata. Mmoja tayari alikuwa kashapata kwenye placement ya MUHAS jana pia kapata.
Hao nilipiga nao written wao walipenya na sasa wameitwa kazini.
Njoo pm mkuu naona kwako hakuingilikiVijana msimsahau Mungu maana bila yeye ngumu kutoboa nasema hivi nikiwa na maana kuwa unabidi kuishi Katika utakatifu TOFAUTI na hapo hutoboi kirahisi bila mchongo wa Mtu Kati + Ndumba
Kweli ww ni sangatiti 😃😃ndumba tenaVijana msimsahau Mungu maana bila yeye ngumu kutoboa nasema hivi nikiwa na maana kuwa unabidi kuishi Katika utakatifu TOFAUTI na hapo hutoboi kirahisi bila mchongo wa Mtu Kati + Ndumba
😂😂Kweli ww ni sangatiti 😃😃ndumba tena
Nazungumzia app siyo webb, maana bado imenigomeaKuna muda ilikua inagoma, saivi inakubali. Nafikiri kuna kitu walikua wanafanyia kazi
Mambo ya mkando sio poa 🤣🤣Wizy na meck pro wametukimbia kabisa😂😂
Hatari mkuuMambo ya mkando sio poa 🤣🤣
Mambo ya mkando sio poa 🤣🤣
Alikua anaskilizia IAE piaMeck pro yupo mrijani tayari
Mkuu umekanda au umekandwa?Mambo ya mkando sio poa 🤣🤣
Alikua anaskilizia IAE pia
Alikua anaskilizia IAE pia
Hao nadhani wamemkandaAlikua anaskilizia IAE pia
At least amepokea barua Moja uhakika wa asali anaoHao nadhani wamemkanda
Vyote vilikua vinagoma...app + webNazungumzia app siyo webb, maana bado imenigomea
Thanks, lakini avatar siyo nzuri kwa afya ya joblessVyote vilikua vinagoma...app + web
Avatar yako mkeka ujayo umo hukosi 😂😂😂Vyote vilikua vinagoma...app + web