mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Huwezi kujiamini kwa kitu ambacho aliyekufanyia usaili sio ndugu yako Wala hauna mahusiano nae.Kikubwa tu Wakati wako Ukifika kama Mungu Kaamua basi kazi itakuwa yako tu hata ushindani uwe vipi.Kikubwa tupende kushukuru Mungu Kwa kila jambo liwe Baya au zuri tulipokee.Panelists ni binadamu na wao wana mioyo ya huruma, japo haimaanishi kwamba jobless ajiandae kwenye kutia huruma bila ya kusoma.
Ujumbe mkubwa zaidi kwenye hiyo komenti ni kwamba ukitoka kwenye usaili wowote usijiamini kupitiliza, ukaanza kujitambulisha mitaani kwamba wewe ni mtumishi wa Serikali unayesubiri tu utaratibu ukamilike.
Ahsante kwa kushare hiki kisa, mwanzoni nadhani mimi nilikuovertake maana nilianza kuhadithia habari za kukuona kule kwa kukuhisi jinsi mlivyokuwa na suti zenu.Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.
But since hapo nliharibiwa kabisa kisaikolojia. Yaan interview zote uwa nakuja huku kutoa feedback but ya NAOT kama mligundua nlibaki tu kimya. Yaan na maswali nikayaona magumu, acha tu. Ata nlivyorudi nyumbani nlijikuta tu nalia
Huko kwenye nafasi nyingi nlifanya legal officerPoa msomi...mimi niliona nijikabidhi kwenye nafasi nyingi zile za state attorneys . Hope utapata hapo NAOT.
Yes hapo nlikuwa nacheka tu ila ata baada ya kukubaliwa mapema bado moyo ulikuwa unaniuma.Ahsante kwa kushare hiki kisa, mwanzoni nadhani mimi nilikuovertake maana nilianza kuhadithia habari za kukuona kule kwa kukuhisi jinsi mlivyokuwa na suti zenu.
Uliishia kusema kidogo nimepatia[emoji3][emoji3][emoji3]
Hizi ndio changamoto katika utafutaji
Dala dala za saba saba tuachie sisi wenye roho ngumu na wabahili(certified Jobless)[emoji3][emoji3][emoji3].Kwanza siku tunaenda written, mimi nmezoea kutoka kule home na bado since mitihan uwa ni saa moja, sasa wa Naot ilikuwa saa 6. Nkaona tu ntapanda daladala maana muda upo. Kwanza pale sabasaba hii ndo ilikuwa mwanzo kushuhudia, yaani watu wanajaa hadi wanasimama ndo daladala nyingine inapakia, tukasubirii baadae ndo tukapanga km nusu saa hiv, hapo naona tushachelewa. Basi nlipanda daladala nkaweka mkono nje, daladala nyingine ikapita kabisa pemben ikanibana mkono nlipiga kelele, ikaniachia mstari hadi nyama ya ndan ikaonekana, na ikanichubua ngoz ile nguo ya mikono mirefu nilivaa, aisee, nmefika na maumivu makali, tukasubirishwa tena, tukaja fanya ntihan saa 8 sijui 9. Mkono unaniuma sio poa na hapo nmeuficha kwenye nguo yangu. Yaan sasa hivi nkisikia NAOT moyo unapiga paa, nawaza maswahibu niliyopitia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namuwaza huyo dada, yaan bora ata mtu anikumbushe MDA na LGAs sio NAOT
Knsa aisee inabdi wawe watu wenye hurma snHahahaha, kabisa Mkuu. Wale watu wa panel wanahitajika kuwa wenye hekima sana, na naamini wengi wanahekima za kutosha.
Ila kiuhalisia mistake ndogo kwenye maongezi inaweza ikamtoa jobless ambaye amejipanga na hasira zote kwamba anataka kuziaga shida na mateso ya kutokuwa na ajira.
Pole sn mkuu ndo majibu ya walioshiba wengi wao ubinadam wao uko mbali snKuna jamaa wa utumishi aliniambia "Hivi umesoma una degree kweli wewe "? Siku ya written. Moyo uliniumaaaaa,nikapotezea nikapiga mtihani nikarudi zangu Tandahimba. Pamoja na kuniambia vile matokeo oral yakatoka nikaitwa nikaenda Asha Rose Migiro nikapiga oral nipo nasubiri placement.Nikipata asante Mungu nikikosa asante Mungu ila nitaendelea kuomba na kupambana.
Asante sn mkuu, iliniuma sn sn.Mpaka natoka kwenye mtihani nilikuwa nimeshaamua kutokuomba tena kazi huko mahala.Sio kwa madharau yale aisee! Moyo wa kusamehe nilionao na kuitwa oral kumenipa ari zaidi ya kuendelea kuombaPole sn mkuu ndo majibu ya walioshiba wengi wao ubinadam wao uko mbali sn
Umenikumbusha huu mkeka uliondoka na mwanangu kimasihara.Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.
Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.
Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!
Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.
Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.
Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
Wewe ni jibless uliechangamka soon tu shilingi inapinduka.Uwe kama mimi jobless ama[emoji23]
Ndio havina shida, Viatu muhimu viwe vya kiofisi, viwe na kamba au bila kamba.Kwan viatu visivyo na kamba mfano kama Hivi vina tatizo mkuu ?
Hata mimi niliomba like kujaribu,heee! Nikashangaa ombi la 1 tu nimeitwa written na nikaitwa oral,sasa sijui kwenye placement nini kitajiri.Vyovyote poa tu.Umenikumbusha huu mkeka uliondoka na mwanangu kimasihara.
Jamaa yangu alikuwaga hana imani kbs kuwa kuna kutoboa psrs, baada ya kuona ss tunaaply na yeye akaaply TRA, KUMBUKA lengo lake kubwa lilikuwa kuja kutest wanatoaje pepa, wanasahihishaje, ili ajipange sasa kwa saili zijazo. Akapiga written kawaida tu akaona hapo hatoboi akajua sasa maswali wanatoaje akarudi home kula msuli heavy, matokeo yanakuja kutoka ya ORAL YUMO [emoji3][emoji3][emoji3] HALAFU KUMBUKA KASHAKULA MSULI MZITO WA SAILI ZIJAZO. kwahiyo jamaa akaenda kupiga oral kiulaini sana kwasababu alikuwa anajinoa na kweli akapata kazi.
Nikajifunza zaidi huku PSRS NI KAZI NA kazi ni Ridhiki na Mtoaji ni Mungu WAKATI WETU UKIFIKA NARUDIA TENA WAKATI WETU UKIFIKA HAKUNA WAKUPINGA NA HATUTATUMIA NGUVU KUBWA SANA, kwahiyo tusiache kuomba, tusiache kuthubutu Ni suala la muda tu. PSRS hakuna cha ugenius wala ujuaji ni suala la muda tu kwasababu tunatafuta ridhiki ambazo ndio kazi zenyewe na Mpaji ni Mungu.
Sure kbs wengine huwa wastaarabu sana mtu unaingia usaili saa7 hujala kutoka saa 1 mpk panelist aliniuliza unaonekana hujala tangu asbh[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wa panel wengine Wana roho nzuri sana, Kuna mmama aliniuliza swali nikawa nalijibu huku moyoni najua kabisa hapa napoteanaa. Nilivyomaliza akanifafanulia akaniambia unajua flani tunazungumzia kitu flani, nikasema ngoja nianze upya akaniruhu, nikatiririka sometime ananiambia hiko umesema taja kingine! Sema placement HAIJATOKA mda mrefu sana Naamini pdf hii yenye vumbi nitakuwemo
Umeona sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi niliomba like kujaribu,heee! Nikashangaa ombi la 1 tu nimeitwa written na nikaitwa oral,sasa sijui kwenye placement nini kitajiri.Vyovyote poa tu.
Mimi hapo kwenye address nilipaacha tu blank, ili watakachokitaka nikiandike ndio nikiandike hapohapo. Sijawahi kuulizwa chochote kuhusiana na address kwenye interview zote, so huwa pako blank tu siku zote. Siku watakaponikaba nipajaze, hapo ndipo nitajaza kama wanavyotaka sasa.Ila hii jaman acha tu, mimi ile interview ya NAOT acha tu kilichonikuta. Asubuh kwanza nlikuwa nmempanga boda maana ninapokaa ni ndan kidogo, saa 11 nkaamka nkampigia akasema ashaamka anakuja, namaliza kuvaa nimpigie aje simu haiwaki, yaan haioneshi chochote. Nkajipa moyo atakuwa nje, natoka nje simuoni mtu yoyote, nlikaa kwanza nmepigwa na butwaa ishakuwa saa 12 na nusu. Ikabidi nitembeee hadi barabarani na suti yangu, ni mbali kidogo, nkapata boda, nikamwambia anikimbize awezavyo saa 1 kamili niwe Asha Rose Migiro. Boda alikimbia nlikuwa naona kifo hiki, tumefika na dk 5. Nkakuta washaanza kusoma. Nlikuwa na wasiwasi ntasomwa mapema tu halafu nianze kutoa macho. Kwenye ukaguzi sasa, msimamizi akakataa barua yangu ambayo interview zote nmekuwa nkitumia hiyo, akasema eti nmeaddress katibu muhtasi badala ya katibu, nkajitetea kuwa mimi kwa kweli kiswahili sielewi najua permanent Secretary ila kwa kiswahili sijui ni nan, akanambia umesoma mpaka law school hujui maana ya katibu muhtasi, et na boss akiona umemuaddress hivi atafurahishwa. Akanambia rudi ukaandikiwe barua mpya na iwe kutoka Dar. Nkamwambia sio kosa langu barua kaandika mtendaji wa mtaa kunitambulisha sio mimi, na kama ningeshajua ni kosa ningeshabadilisha maana muda wote nmekuwa nikitumia hii. Jaman dada akagoma kabisa. Wenzangu walikuwa wachache tu nane wakakaguliwa wote nikabaki mimi. Akanigomea kabisa. Nlililia, nlilia, yaan nlishindwa jizuia machoz yalikuwa yanaporomoka tu. Akawa ananipita tu. Baadae nkamfata tena akasema labda nikupeleke kwa boss wangu, nikaenda yule mama akaangalia ile barua akacheka, akasema kafanye tu oral mwanangu.
But since hapo nliharibiwa kabisa kisaikolojia. Yaan interview zote uwa nakuja huku kutoa feedback but ya NAOT kama mligundua nlibaki tu kimya. Yaan na maswali nikayaona magumu, acha tu. Ata nlivyorudi nyumbani nlijikuta tu nalia
Pole mkuu,ni palepale Asha Rose Migiro? Halafu hapana miundombinu mizuri ya kula.Inatakiwa ifunguliwe cafe nzuri na classic na chakula kiwe affordable. Watu wanashinda njaa sn sn pale Asha Rose Migiro.Sure kbs wengine huwa wastaarabu sana mtu unaingia usaili saa7 hujala kutoka saa 1 mpk panelist aliniuliza unaonekana hujala tangu asbh[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Hapohapo migiro sio rafiki kbs, kwanza tulipigwa na jua, na hiyo njaa kisha tukaanza saa6 usaili its was so sad maana tulichoka kabla ya tukioPole mkuu,ni palepale Asha Rose Migiro? Halafu hapana miundombinu mizuri ya kula.Inatakiwa ifunguliwe cafe nzuri na classic na chakula kiwe affordable. Watu wanashinda njaa sn sn pale Asha Rose Migiro.