Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vaa casual
Epuka kuvaa tofauti na watumishi wa Umma , vaaa shati , suruali kiatu Cha kamba kizuri
Chana nywele , au vaa baragashia
Kwan viatu visivyo na kamba mfano kama Hivi vina tatizo mkuu ?
 
Attachments

  • Screenshot_20221212-140742.png
    Screenshot_20221212-140742.png
    6.9 KB · Views: 12
Ngoma had dkk120 sio?[emoji23][emoji23][emoji23], unaweza weka malengo ya mwaka ue ushapata wakat kwa mwaka kaz zilizotoka ni mbili tu. Cha msingi ni kutokata tamaa i believe 2023 utakua mwaka wa kulamba asali kwa hustlers wote Mungu atatenda,Amen.
Mwaka huu nilifanya application nyingi(Wizara, Tamisemi na PSRS) nikaishia kuambulia mikando.

Nimejaribu sio sawa kutojaribu, ni hatua kubwa, nafocus mwakani tena nikijaliwa pumzi
 
Mbona kukandwa kawaida me nilisubiri post baada ya oral miezi km 4 hivi ns niliitegemea sana pdf kujakutoka simo, Aiseh iliniuma saana na mbaya zaidi wengi wakaribu yangu walikuwa wanajua na niliacha kbs kuaply kwengine mishe zote niliitegemea hiyo tu, baadae zikapita siku ilikuwa jully mpk leo sijaona jina moyo wangu ushapondekapondeka na kuanzia hapo nimejifinza ukifanya oral baada ya hapo ni neema za mungu zikufuatie lkn usiitegemee you will be disspointed more na kinachouma ni muda, nimefanya oral lkn nipo km mandonga ndio kwanza naanza upya kuaply kwengine kbs nasahau kwasababu its better to be suprused than to be dissapointed, tunajifunza tuna moveon, Kazi ni ridhiki na mpaji ni mungu wakati ukifika SGR YA MRIJA ITATIRIRIKA TU. LETS KEEP IT UP.

Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.

Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.

Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!

Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.

Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.

Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
 
Imekaa vzr hiyo ya mwaka 1
Mwaka ni mwingi.. vijana mliopiga Oral interview kwa nafasi za mtu mmojammoja au wawili wengi mtakula mashavu..
Wale wote tunaosubiria placements nadhani mwaka 2023 ndio mwaka wetu wa kwenda kuwatumikia Watanzania wenzetu..
Ni Suala la mda tu wakuu.. Tuvute Subirah PSRS wanaofanya mambo huko
 
Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akilisia siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.

Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.

Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!

Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.

Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.

Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
Huyo japo alikuwa analia Ila waliona ana some content kichwani.. Ni vizuri kupeana ridhiki namna hii. Naona Sasa Yuko getho kwake anakaanga samaki na broiler 😂😂
 
Ndugu yangu uko sahihi sana. Kuna mdada alitoka kwenye usaili fulani na kurudi nyumbani akila siku nzima kwa makadirio ya haraka iliisha wiki hayuko sawa.

Sababu ni kwamba kuna maneno ya kukatisha tamaa aliambiwa na moja ya wanapannel kwenye Oral, yakamtoa kwenye reli kabisa akawa na kigugumizi kuanzia hapo akiulizwa maswali yanayofuata akawa anajibu kisha anazidiwa na kulia.

Kwa hiyo alivyotoka kwenye mtihani akawa anaumia kwamba tayari amefeli, hata kumpa moyo ni ngumu kwa sababu hoja yake ni atafaulu vipi wakati maswali mengi hajayajibu!

Mkeka ulipotoka jina lake likawepo na kuna baadhi ya waliotoka kwa kujiamini na kuanza kumfariji majina yao hayakuwepo.

Nadhani jamaa wa panel labda waligundua kuna kuna mahala waliteleza kwa hiyo wakaona waangalie namna ya kumfidia kibinadamu.

Ni ule mkeka wa TRA wa mwaka huu uliowapa watu wengi ajira.
Kumbe huruma kama hizi zipo pia[emoji1]basi jamaa wana ubinadamu
 
Back
Top Bottom