Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutakuwa na ukakasi, yaani apumzike siku ambayo placement aliyoisubiria kwa hamu ndio imetoka.Wizy yupo msihofu,atakuwa ameamua kupumzika tu kidogo huku mtandaoni
Mnipe material ya Custom officer sasa nitokelezee kiTRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuvaa kiheshima hasa kiutumishi ni muhimu sana.
Hivi ukivaa kama msanii, macheni kama yote, jinsi umetoboka toboka, chini raba kubwa, masikioni hereni si watakuona kituko!!
Kila sehemu kuna dressing code yake, PSRS nenda na dressing code ya kiutumishi, ikiwezekana tumia sample ya mavazi yaliyokwenye muongozo wa mawazi ya watumishi wa umma(kuna picha zimebandikwa kwenye ofisi mbalimbali za umma)
Akina Prok walipigilia dressing code ya kiuanasheria, walitokelezea vizuri sana
Hapana, hazichangii kwenye uwezekano wa kupata kazi.Jamani, hizi percentage za kwenye account zetu za Ajira portal mfano somebody ana 85%, mwingine ana 96%.. Huwa zinachagiza au kukuongezea nafasi ya kupata kazi ..?
Na ni kwa nn Huwa zinatofautiana.. unakuta wachache Wana 100% wengine ni 80 - 95..?
Mimi ndo nilipata hiyo changamoto bora mtu usafiri mapema sanaKama unaenda Interview fanya upande bus mapema haya mambo ya kusafiri jioni na private car yalishampoza mdau humu ndani. Gari ilipata tatizo na hakukua na other option. Ikiwezekana fanya uwahi mapema tu mkuu.
😂😂😂 Pole mwamba, Ila kama Kuna yeyote ulipenya Hadi Oral watakuwa, PSRS wanataka Kila mtu mpambanaji pale basi apate kazi na hyo ndo kaulimbiu Yao sema tu kazi ni Chache watu ni wengiHapana, hazichangii kwenye uwezekano wa kupata kazi.
Hizo % ni kutokana na ukamilifu wa kujaza taarifa husika zinazohitajika kulingana na kada yako.
Mimi profile ipo 100% maana nimejaza kila kitu nilichoqualify na doxc zote husika ila nimebaki nakandwa kama kawaida
Wizy kakandwa sio bure....hope next time atatoboa tKutakuwa na ukakasi, yaani apumzike siku ambayo placement aliyoisubiria kwa hamu ndio imetoka.
Kiuhalisia kama angekuwa katusua asingekaa kimya kwa ile furaha aliyoisubiri kwa muda mrefu, humu tumetaniana kwa mambo mengi ikiwemo maandalizi ya suti, moka ya kuchukulia barua Asha Rose Migiro. Hiyo furaha angeikalia kimya kweli!?
Hata kama mambo yamekuwa tofauti na matarajio sio vibaya maana sio mara yake ya kwanza kupitia hiyo hali.
Mbona kukandwa kawaida me nilisubiri post baada ya oral miezi km 4 hivi ns niliitegemea sana pdf kujakutoka simo, Aiseh iliniuma saana na mbaya zaidi wengi wakaribu yangu walikuwa wanajua na niliacha kbs kuaply kwengine mishe zote niliitegemea hiyo tu, baadae zikapita siku ilikuwa jully mpk leo sijaona jina moyo wangu ushapondekapondeka na kuanzia hapo nimejifinza ukifanya oral baada ya hapo ni neema za mungu zikufuatie lkn usiitegemee you will be disspointed more na kinachouma ni muda, nimefanya oral lkn nipo km mandonga ndio kwanza naanza upya kuaply kwengine kbs nasahau kwasababu its better to be suprused than to be dissapointed, tunajifunza tuna moveon, Kazi ni ridhiki na mpaji ni mungu wakati ukifika SGR YA MRIJA ITATIRIRIKA TU. LETS KEEP IT UP.Wizy kakandwa sio bure....hope next time atatoboa t
Ni sahihi mkuu, tusife moyo tuendelee kupambana.Mbona kukandwa kawaida me nilisubiri post baada ya oral miezi km 4 hivi ns niliitegemea sana pdf kujakutoka simo, Aiseh iliniuma saana na mbaya zaidi wengi wakaribu yangu walikuwa wanajua na niliacha kbs kuaply kwengine mishe zote niliitegemea hiyo tu, baadae zikapita siku ilikuwa jully mpk leo sijaona jina moyo wangu ushapondekapondeka na kuanzia hapo nimejifinza ukifanya oral baada ya hapo ni neema za mungu zikufuatie lkn usiitegemee you will be disspointed more na kinachouma ni muda, nimefanya oral lkn nipo km mandonga ndio kwanza naanza upya kuaply kwengine kbs nasahau kwasababu its better to be suprused than to be dissapointed, tunajifunza tuna moveon, Kazi ni ridhiki na mpaji ni mungu wakati ukifika SGR YA MRIJA ITATIRIRIKA TU. LETS KEEP IT UP.
Kabisa kaka hakuna kukata tamaa, juzi tu hapa rafiki yangu ndio kapata since 2018 kuanza kuapply so muda ukifika haipingwi itakuja tu. Lets keep it up.Ni sahihi mkuu, tusife moyo tuendelee kupambana.
Mimi hapa nasubiri placement inayohitaji mtu 1 tu. Oral tumepiga watu 6, kati ya hao, mmoja kashapata kwenye placement ya tarehe 4 juzi. Endapo alifanya vizuri na hii ninayoisubiria usishangae kumuona kaitwa tena na kutuacha wengine maana PSRS hawana mtindo wa kublock mtu ambaye kashapata nafasi ili asiweze kupewa nafasi nyingine tena.
Katika hili limeweka matarajio angalau ya kuingia kanzidata, placement naisubiri ila nikiwa nimejiandaa kwa lolote litakalotokea.
Riziki ipo tu, tuwe na subira ila tusiache kupambania njia za kuifikia hiyo riziki.
NOTE: Mwaka huu niliweka nia ya kupambana ili nipate mrija wa Asali ila hadi sasa mwaka ndio upo ukingoni mambo bado bila bila, hapa inahitajika Extra time kama Croatia ili nitusue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuendelee kupambana huku tukitanguliza subira na maombiKabisa kaka hakuna kukata tamaa, juzi tu hapa rafiki yangu ndio kapata since 2018 kuanza kuapply so muda ukifika haipingwi itakuja tu. Lets keep it up.
Ngoma had dkk120 sio?[emoji23][emoji23][emoji23], unaweza weka malengo ya mwaka ue ushapata wakat kwa mwaka kaz zilizotoka ni mbili tu. Cha msingi ni kutokata tamaa i believe 2023 utakua mwaka wa kulamba asali kwa hustlers wote Mungu atatenda,Amen.Ni sahihi mkuu, tusife moyo tuendelee kupambana.
Mimi hapa nasubiri placement inayohitaji mtu 1 tu. Oral tumepiga watu 6, kati ya hao, mmoja kashapata kwenye placement ya tarehe 4 juzi. Endapo alifanya vizuri na hii ninayoisubiria usishangae kumuona kaitwa tena na kutuacha wengine maana PSRS hawana mtindo wa kublock mtu ambaye kashapata nafasi ili asiweze kupewa nafasi nyingine tena.
Katika hili limeweka matarajio angalau ya kuingia kanzidata, placement naisubiri ila nikiwa nimejiandaa kwa lolote litakalotokea.
Riziki ipo tu, tuwe na subira ila tusiache kupambania njia za kuifikia hiyo riziki.
NOTE: Mwaka huu niliweka nia ya kupambana ili nipate mrija wa Asali ila hadi sasa mwaka ndio upo ukingoni mambo bado bila bila, hapa inahitajika Extra time kama Croatia ili nitusue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amina kabisa all is well , God is good all the timeNgoma had dkk120 sio?[emoji23][emoji23][emoji23], unaweza weka malengo ya mwaka ue ushapata wakat kwa mwaka kaz zilizotoka ni mbili tu. Cha msingi ni kutokata tamaa i believe 2023 utakua mwaka wa kulamba asali kwa hustlers wote Mungu atatenda,Amen.
Database itakufurhisha tu mkuu.. kikubwa PSRS washatolea ufafanuzi kuwa muda wa database ni 1year.. na kwa namna Mama wetu anavyomwaga Ajira.. Naamini Kuna mwezi utatoka mkeka wa Dabase tupu utasheheni kada kama zote na mtainjoi vijanaMbona kukandwa kawaida me nilisubiri post baada ya oral miezi km 4 hivi ns niliitegemea sana pdf kujakutoka simo, Aiseh iliniuma saana na mbaya zaidi wengi wakaribu yangu walikuwa wanajua na niliacha kbs kuaply kwengine mishe zote niliitegemea hiyo tu, baadae zikapita siku ilikuwa jully mpk leo sijaona jina moyo wangu ushapondekapondeka na kuanzia hapo nimejifinza ukifanya oral baada ya hapo ni neema za mungu zikufuatie lkn usiitegemee you will be disspointed more na kinachouma ni muda, nimefanya oral lkn nipo km mandonga ndio kwanza naanza upya kuaply kwengine kbs nasahau kwasababu its better to be suprused than to be dissapointed, tunajifunza tuna moveon, Kazi ni ridhiki na mpaji ni mungu wakati ukifika SGR YA MRIJA ITATIRIRIKA TU. LETS KEEP IT UP.
Amen na ikawe hivyoNgoma had dkk120 sio?[emoji23][emoji23][emoji23], unaweza weka malengo ya mwaka ue ushapata wakat kwa mwaka kaz zilizotoka ni mbili tu. Cha msingi ni kutokata tamaa i believe 2023 utakua mwaka wa kulamba asali kwa hustlers wote Mungu atatenda,Amen.
Kumbe 1 yr?Database itakufurhisha tu mkuu.. kikubwa PSRS washatolea ufafanuzi kuwa muda wa database ni 1year.. na kwa namna Mama wetu anavyomwaga Ajira.. Naamini Kuna mwezi utatoka mkeka wa Dabase tupu utasheheni kada kama zote na mtainjoi vijana
miezi 6 tuKumbe 1 yr?
miezi 6 tu
Acha ubishi mkuu,secretarieti ya ajira kwenye uzi wao wamejibu kwamba ni mwaka 1,au wewe ndo psrs mkandaji😁😁?miezi 6 tu