Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Njoo nikuandalie affidavit chaap, halafu husirudi humu kushuhudia Prok ni nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha. Kwa gia ya kujidai wanataka huduma watakuja wengi sana.

Ila niamini kwa akili za jobless hawatafuata huduma ya Affidavit, na hili utakuja kuligundua mwishoni sana.

Jobless kwa sababu wamekosa maeneo ya maana ya kuelekeza akili zao, wanazielekeza akili zote hata kwenye mambo ya hovyo na wana kila mbinu ya kuhakikisha wanafanikiwa.
 
Hongera saba Cvez kwa kuingia katika mrija wa asali.......ndugu zangu eeeh , ADEM wamenipa za USO. Ila hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke
 
Shukran mkuu maelezo ya kizalendo na upendo haswa Mungu akubariki
 
Eeeeh, bora umenisanua.
 
Kama chuo wanazingatia NIDA na Cheti cha Kuzaliwa ambapo penye initial ya katikati(Samia S Hangaya) wao wanaiandika kwa kirefu(Samia Suluhu Hangaya), kwa nini aliyetumia majina mawili(Samia Suluhu) kwenye cheti cha shule(form 4 na 6) huwa hawaongezi jina la tatu(Samia Suluhu Hangaya) ambalo huwa lipo kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…