hahahaaKama ulikua unarembua jua umepita
Changamoto ni walimu wa madarasa wengine wanaona shida kuandika majina matatu kwenye attendance....na hasa pale wanapohamisha toka mwezi moja uliopita kwenda mwezi mpya. Hali hii upelekea wasajili kusajili majina kwa makosa yale wayakutayo kwa attendance.Ndio hivyo mkuu, Darasa letu la Olevel 99% tulizumia majina 2 ambapo yalianzia form 2, tulipofika form 4 tuliambiwa majina ya form ndio yatatumika kusajiliwa.
Kuna baadhi ya watu walikosea herufi 1 kwenye jina enzi za form 2 na walishindwa kurekebisha pindi tunasajiliwa form 4, hadi sasa majina yao yamebaki na kasoro ile ambayo ndio ishakuwa uhalali wa majina yao hadi sasa.
Kipindi hicho naona kila shule ilikuwa na maamuzi yake kwenye kuandika majina ya wanafunzi wake, shule zingine zilitumia majina 3 full, zingine zilitumia 3 la katikati likiwa initial, zingine zilitumia majina 2 kama shule yetu.
Thanks bibieWaooh hongera sana
Hongera sana kaka, kalitumikie taifa sasaAlhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.
Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.
Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Ahmet habari za siku,,,Hongera sana kaka, kalitumikie taifa sasa
Salama makofia, uhali gani??Ahmet habari za siku,,,
Njema hujakutana na wizy anatafutwa huku 😂Salama makofia, uhali gani??
Sijakutana nae ila yupo humuNjema hujakutana na wizy anatafutwa huku 😂
Haya bana vipi lakini harakati za kuingia mzigoni zinaendajeSijakutana nae ila yupo humu
Nashukuru, tumepeleka zile barua wamesema tusubiri watatupigia simuHaya bana vipi lakini harakati za kuingia mzigoni zinaendaje
Okay hatua nzuri tunakuombea kila kitu kiende sawa mwambaNashukuru, tumepeleka zile barua wamesema tusubiri watatupigia simu
Amina boss, maana mchakato ni mrefuOkay hatua nzuri tunakuombea kila kitu kiende sawa mwamba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaka ushaingia mrijani hapo bado kufyonza tu mpaka januari utaanza kulamba kaa mkao wa kula.Yaani naona kuchelewa, wangesema tu nianze kazi hata kesho
Kweli mzee hapo ni uhakkki wa vyeti nida then cheque number unaogelea kwe asali hatua hiyo inakuwa ngumu kama una cheque number tayari mzunguko unakuwa mkubwaAmina boss, maana mchakato ni mrefu
Ahaa aisee, asali Tamu sanaKweli mzee hapo ni uhakkki wa vyeti nida then cheque number unaogelea kwe asali hatua hiyo inakuwa ngumu kama una cheque number tayari mzunguko unakuwa mkubwa
Hahaha hakika maana tumesubiri sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaka ushaingia mrijani hapo bado kufyonza tu mpaka januari utaanza kulamba kaa mkao wa kula.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app