Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndio hivyo mkuu, Darasa letu la Olevel 99% tulizumia majina 2 ambapo yalianzia form 2, tulipofika form 4 tuliambiwa majina ya form ndio yatatumika kusajiliwa.

Kuna baadhi ya watu walikosea herufi 1 kwenye jina enzi za form 2 na walishindwa kurekebisha pindi tunasajiliwa form 4, hadi sasa majina yao yamebaki na kasoro ile ambayo ndio ishakuwa uhalali wa majina yao hadi sasa.

Kipindi hicho naona kila shule ilikuwa na maamuzi yake kwenye kuandika majina ya wanafunzi wake, shule zingine zilitumia majina 3 full, zingine zilitumia 3 la katikati likiwa initial, zingine zilitumia majina 2 kama shule yetu.
Changamoto ni walimu wa madarasa wengine wanaona shida kuandika majina matatu kwenye attendance....na hasa pale wanapohamisha toka mwezi moja uliopita kwenda mwezi mpya. Hali hii upelekea wasajili kusajili majina kwa makosa yale wayakutayo kwa attendance.
 
Alhamdulillaah finally Jobless mzoefu amepata mrija wa asali.

Guys since 2017 napambana na mishe za kuunga unga and finally nimeingia kwenye system inayoeleweka.

Sio rahisi kua Jobless na katika kitu kigumu latika maisha ya mtu ni kukosa kazi maalumu especially kwa mwanaume. Mungu ni wetu sote wakati wa Mungu ni wakati sahihi muda utafika but never give up nishalamba mchanga interview nyingi sana. Mungu ni mwema.
Hongera sana kaka, kalitumikie taifa sasa
 
Hizi stutus zina maana tu tena kubwa mno Nitaziona hazina maana endapo mtu aliekuwa Not shortlisted akawa kwe pdf ya placement au Not selected for Null akawa katika placement.

Nijuavyo mimi unaweza kiwa selected for null then nafasi ikawa chache kama ni moja basi una mtu amekuzidi marks hivyo utabaki database ila umefaulu
 
Back
Top Bottom