[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4], wamekusubirisha tena duu!Yaani naona kuchelewa, wangesema tu nianze kazi hata kesho
Yaani OUT nao wameniita kwenye interview, Sijui niende??
Hongera sana chiefWaheshimiwa, nimebahatika kuwakanda utumishi kwa kuwapelekea ndoige moja ya maana hapo Mweka.
Hivi kuhusu kufuata barua ya kuitwa kazini hakuna uwezekano wa kuichukulia Dar badala ya Dodoma?
Hongera sana kaka,Waheshimiwa, nimebahatika kuwakanda utumishi kwa kuwapelekea ndoige moja ya maana hapo Mweka.
Hivi kuhusu kufuata barua ya kuitwa kazini hakuna uwezekano wa kuichukulia Dar badala ya Dodoma?
@Prok .. Ona hii, affidavit napataje mkuuHapo kwenye jina mzazi ndipo penye kigingi.
Haradati Mkandwaji na Haradati Uredi ni watu 2 tofauti.
Tafuta kiapo cha kuelezea huo utofauti
@Prok .. ione hii, napataje affidavit mkuuHapo kwenye jina mzazi ndipo penye kigingi.
Haradati Mkandwaji na Haradati Uredi ni watu 2 tofauti.
Tafuta kiapo cha kuelezea huo utofauti
Mimi ni miongoni piah status imeandika Selected for Null (Green) lakini bado nimekandwa airport na toka hapo sina hamuMbna ni kama hyo SELECTED FOR null (green) kila aliepiga oral ameandikiwa hvyo?.
Kuna mdau humu nafikiri ni abeche amesema amepigwa chini na status ipo hvyo.
Hizi status ni kuachana nazo tu, zitakuumiza kichwa waego.
hahahaa acha kunipa moyo basi
Hongera Sana mkuu,ukawe mtumishi mwema.Ndugu zangu mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mungu wetu yu hai hata leo. Baada ya ujobless kwa miaka 7, sasa ameniona kupitia utumishi. Nawasihi waliokosa kutokata tamaa, nafasi yao ipo. Nimefanya Oral moja tu, nimechaguliwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mjuzi, tumtegemee yeye. Kutoka familia duni, bila connection, amenifanyia wepesi na upendeleo mkubwa sana.
NB: Status yangu (Selected for null kwenye app na Selected for Oral kwenye website)
Kumbuka hyo ni call for interview na sio placement,aende kazini tuKama hujachukua barua angalia sehemu yenye maslahi kwako.
Naomba niassume hauko serious...kwanza hata haja ya kuicheck hiyo pdf ya interview sijui unaitoa wapi wakati una placement tayariYaani OUT nao wameniita kwenye interview, Sijui niende??
Kama ningekuwa dar ningeenda tu kufanya sababu napenda mitihaniNaomba niassume hauko serious...kwanza hata haja ya kuicheck hiyo pdf ya interview sijui unaitoa wapi wakati una placement tayari
Hivi unaisha dar eeh??Naomba niassume hauko serious...kwanza hata haja ya kuicheck hiyo pdf ya interview sijui unaitoa wapi wakati una placement tayari
Hapana...nilitoka huko! Ujobless na Dar niliona haviendani[emoji1787]Hivi unaisha dar eeh??
Duuh [emoji3][emoji3][emoji3] sureHapana...nilitoka huko! Ujobless na Dar niliona haviendani[emoji1787]
Heee yan wakapost barua wasap status ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waliitwa kimya kimya nliishia kuona tu barua status
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaWaheshimiwa, nimebahatika kuwakanda utumishi kwa kuwapelekea ndoige moja ya maana hapo Mweka.
Hivi kuhusu kufuata barua ya kuitwa kazini hakuna uwezekano wa kuichukulia Dar badala ya Dodoma?
Mnahangaika bure tu kwan ukisubr pdf utakufa???? Mshaambiwa status haina maana yyt ile,msikaze fuvu.Natamani hzi ishu za status aje ict wa utumishi mwenyewe kbsa amalize utata