Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Waheshimiwa, nimebahatika kuwakanda utumishi kwa kuwapelekea ndoige moja ya maana hapo Mweka.

Hivi kuhusu kufuata barua ya kuitwa kazini hakuna uwezekano wa kuichukulia Dar badala ya Dodoma?
Hongera sana kaka,

Fata barua hyo mkuu, kwani umepoteza kiasi gani hapo mwanzo hadi ushindwe kufata barua ya kazi?.
 
Mbna ni kama hyo SELECTED FOR null (green) kila aliepiga oral ameandikiwa hvyo?.

Kuna mdau humu nafikiri ni abeche amesema amepigwa chini na status ipo hvyo.

Hizi status ni kuachana nazo tu, zitakuumiza kichwa waego.
Mimi ni miongoni piah status imeandika Selected for Null (Green) lakini bado nimekandwa airport na toka hapo sina hamu
 
Ndugu zangu mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mungu wetu yu hai hata leo. Baada ya ujobless kwa miaka 7, sasa ameniona kupitia utumishi. Nawasihi waliokosa kutokata tamaa, nafasi yao ipo. Nimefanya Oral moja tu, nimechaguliwa, Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Mwenyezi Mungu ni mjuzi, tumtegemee yeye. Kutoka familia duni, bila connection, amenifanyia wepesi na upendeleo mkubwa sana.

NB: Status yangu (Selected for null kwenye app na Selected for Oral kwenye website)
 
Hongera Sana mkuu,ukawe mtumishi mwema.
 
Back
Top Bottom