Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwamba anachagua yeye hospital ya kwenda

Kwamba hawapimi Ngwengwe.

We ushawahi jaza medical form? Ile unayoambiw na mwajiri, serikalin?
Sijui kwa taasisi zingine ila nimefanya referance ya placement aliopata jamaa yangu juzi November, hajapima ngwengwe na alipeleka hospital wamjazie akarudisha ofisini....so yawezekana labda kila taasisi ina utaratibu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huyu ni mwenzangu kweli. Hii language ya ke kabisa[emoji4][emoji4][emoji4]
Mbona hakuna siri hapo, nilishamwambia kuwa post yake ya kwanza tu nilim note akawa anajichekea tu.

Hakuna kitu kigumu kama ku fake uhalisia wako, kuna muda utajisahau tu.
 
Labda... Maana sensitivity ya kupima afya ni kubwa sana, Vijana tunzeni Afya.
 
Ok ok kumbe na OG wanaviscan mie nilizani copy hzo zinazobaki
 
Upo sahihi labda kweny kuchagua hospital mara nyingi wanataka za serikali ila ukifika tu pale Reception ni Elfu 10 tu wanajaza wanapiga na mhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…