moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
hapo sasa nakuacha uamini uonavyo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sasa nakuacha uamini uonavyo wewe
Hili jambo la msingi sana, nilishawahi kukosa interview hivi hivi kisa venue kubadilika. Uzuri nilikua na interview mbili siku hiyo, so nikaishia kufanya moja tu iliyobakia. Wanabadilisha venue kimya kimya, sijui ndo kuchuja watu kijanjaMsisahau kuangalia mabadiliko ya venue
Kuna sehem sekretariat ya ajira wameorodhesha majukumu yao kayasome fresh.Tofautisha Barua ya Placement na Barua ya Ajira ni vitu viwili tofauti naomba ulijue hilo kijana.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hapo sasa nakuacha uamini uonavyo wewe
Siku zote usiache kutembelea website ukiwa na interview, mabadiliko ni muda wote yanatokeaHili jambo la msingi sana, nilishawahi kukosa interview hivi hivi kisa venue kubadilika. Uzuri nilikua na interview mbili siku hiyo, so nikaishia kufanya moja tu iliyobakia. Wanabadilisha venue kimya kimya, sijui ndo kuchuja watu kijanja
Kwani kuna mabadiliko ya venueMsisahau kuangalia mabadiliko ya venue
Sasa bro charldzosias tupe tofauti yakoTofautisha Barua ya Placement na Barua ya Ajira ni vitu viwili tofauti naomba ulijue hilo kijana.
Tangazo lilitaka mtu mmoja kuomba post moja hata kama amekidhi vigezo kuomba post zote.Wadau hivi Kuna mtu kachaguliwa kufanya interview zote mbili za customs and tax management officer?
Yuko sawa, unapewa barua nyingine na mwajiri wako... ukisha report unakua on probation mpaka pale utakapo pata barua ya kuthibitishwa kazini.Sasa bro charldzosias tupe tofauti yako
Au baada ya kueport kituon na barua kutoka utumishi ,,na kukamilisha taratibu za ajira kwa mwajiri wako ,,zen unapewa tena barua ya ajira au ?? Tunaomba ufafanuzi wa tofaut bro
Maana ya placement kweny web ya utumishi ni kupangiwa kituo Cha kazi na tangazo lao linakuwa lisema "wafuatao wamepangiwa vituo mbalimbali baada ya kufaulu usahili ,wafike ofisi za sektarieti ya ajira kwa ajili ya kuchukua barua zao,,za kuitwa kazini na kwenda kuhakikiwa vyeti yao na mwajiri,na kukamilisha taratibu za ajira .. "
Ss bro ba
Placement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyotangazwaSasa bro charldzosias tupe tofauti yako
Au baada ya kueport kituon na barua kutoka utumishi ,,na kukamilisha taratibu za ajira kwa mwajiri wako ,,zen unapewa tena barua ya ajira au ?? Tunaomba ufafanuzi wa tofaut bro
Maana ya placement kweny web ya utumishi ni kupangiwa kituo Cha kazi na tangazo lao linakuwa lisema "wafuatao wamepangiwa vituo mbalimbali baada ya kufaulu usahili ,wafike ofisi za sektarieti ya ajira kwa ajili ya kuchukua barua zao,,za kuitwa kazini na kwenda kuhakikiwa vyeti yao na mwajiri,na kukamilisha taratibu za ajira .. "
Ss bro ba
Mimi sizungumzii swala la barua ya mwajiri wako, nazungumzingia "vetting" kwamba utumishi wakupangie kituo cha kazi na hawajakufanyia vetting is it possible?!Placement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyotangazwa
Letter of Employment (Barua ya Ajira) ni ile barua unayoshuka Saini yako na mwajiri kukubaliana na hivi,:-
1- Mshahara
2- Terms of contract as well duration
3- benefits
Na mambo mengi... Hii barua ukiipata ndio unaweza kujiita MTUMISHI WA UMMA na hapa utaingia ktk Payroll mara moja na kutambulika kisheria.
Placement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyitangazwaSasa bro charldzosias tupe tofauti yako
Au baada ya kueport kituon na barua kutoka utumishi ,,na kukamilisha taratibu za ajira kwa mwajiri wako ,,zen unapewa tena barua ya ajira au ?? Tunaomba ufafanuzi wa tofaut bro
Maana ya placement kweny web ya utumishi ni kupangiwa kituo Cha kazi na tangazo lao linakuwa lisema "wafuatao wamepangiwa vituo mbalimbali baada ya kufaulu usahili ,wafike ofisi za sektarieti ya ajira kwa ajili ya kuchukua barua zao,,za kuitwa kazini na kwenda kuhakikiwa vyeti yao na mwajiri,na kukamilisha taratibu za ajira .. "
Ss bro ba
Vetting anafanya Mwajiri ndio unakuja kupewa barua ya Ajira. Ndio maana nikakwambia unajua utofauti wa Placement na Barua ya Ajira?Mimi sizungumzii swala la barua ya mwajiri wako, nazungumzingia "vetting" kwamba utumishi wakupangie kituo cha kazi na hawajakufanyia vetting is it possible?!
Njoo nikuandalie affidavit chaap, halafu husirudi humu kushuhudia Prok ni nan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhumuni la ubishani huu ni nini? Wasomi acheni hizoPlacement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyitangazwa
Letter of Employment (Barua ya Ajira) ni ile barua unayoshuka Saini yako na mwajiri kukibaliana na hivi,:-
1- Mshahara
2- Terms of contract as well duration
3- benefits
Na mambo mengi... Hii barua ukiipata ndio unaweza kujiita MTUMISHI WA UMMA na hapa utaingia ktk Payroll mara moja na kutambulika kisheria
Vetting anafanya Mwajiri ndio unakuja kupewa barua ya Ajira. Ndio maana nikakwambia unajua utofauti wa Placement na Barua ya Ajira?
Nikasema unaweza pewa Placement na usiipate hiyo Kazi (Barua ya Ajira).
Barua ya ajira inatolewa na mwajiri, cheo chako,hii inataja majukumu yako, mshahara wako, stahiki nyingine nk. Hii inatakiwa uitunze kwa miaka mingiSasa bro charldzosias tupe tofauti yako