Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili jambo la msingi sana, nilishawahi kukosa interview hivi hivi kisa venue kubadilika. Uzuri nilikua na interview mbili siku hiyo, so nikaishia kufanya moja tu iliyobakia. Wanabadilisha venue kimya kimya, sijui ndo kuchuja watu kijanja
Siku zote usiache kutembelea website ukiwa na interview, mabadiliko ni muda wote yanatokea
 
Tofautisha Barua ya Placement na Barua ya Ajira ni vitu viwili tofauti naomba ulijue hilo kijana.
Sasa bro charldzosias tupe tofauti yako
Au baada ya kueport kituon na barua kutoka utumishi ,,na kukamilisha taratibu za ajira kwa mwajiri wako ,,zen unapewa tena barua ya ajira au ?? Tunaomba ufafanuzi wa tofaut bro

Maana ya placement kweny web ya utumishi ni kupangiwa kituo Cha kazi na tangazo lao linakuwa lisema "wafuatao wamepangiwa vituo mbalimbali baada ya kufaulu usahili ,wafike ofisi za sektarieti ya ajira kwa ajili ya kuchukua barua zao,,za kuitwa kazini na kwenda kuhakikiwa vyeti yao na mwajiri,na kukamilisha taratibu za ajira .. "

Ss bro ba
 
Yuko sawa, unapewa barua nyingine na mwajiri wako... ukisha report unakua on probation mpaka pale utakapo pata barua ya kuthibitishwa kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Placement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyotangazwa

Letter of Employment (Barua ya Ajira) ni ile barua unayoshuka Saini yako na mwajiri kukubaliana na hivi,:-
1- Mshahara
2- Terms of contract as well duration
3- benefits
Na mambo mengi... Hii barua ukiipata ndio unaweza kujiita MTUMISHI WA UMMA na hapa utaingia ktk Payroll mara moja na kutambulika kisheria.
 
Mimi sizungumzii swala la barua ya mwajiri wako, nazungumzingia "vetting" kwamba utumishi wakupangie kituo cha kazi na hawajakufanyia vetting is it possible?!
 
Placement ni kama Ticket tu au Utambulisho kuwa umepata nafasi iliyitangazwa

Letter of Employment (Barua ya Ajira) ni ile barua unayoshuka Saini yako na mwajiri kukibaliana na hivi,:-
1- Mshahara
2- Terms of contract as well duration
3- benefits
Na mambo mengi... Hii barua ukiipata ndio unaweza kujiita MTUMISHI WA UMMA na hapa utaingia ktk Payroll mara moja na kutambulika kisheria
Mimi sizungumzii swala la barua ya mwajiri wako, nazungumzingia "vetting" kwamba utumishi wakupangie kituo cha kazi na hawajakufanyia vetting is it possible?!
Vetting anafanya Mwajiri ndio unakuja kupewa barua ya Ajira. Ndio maana nikakwambia unajua utofauti wa Placement na Barua ya Ajira?

Nikasema unaweza pewa Placement na usiipate hiyo Kazi (Barua ya Ajira).
 
Dhumuni la ubishani huu ni nini? Wasomi acheni hizo
 
Barua ya ajira inatolewa na mwajiri, cheo chako,hii inataja majukumu yako, mshahara wako, stahiki nyingine nk. Hii inatakiwa uitunze kwa miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…