Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Wacha niitikie tu ila sijazijua hizo[emoji3]taasisi zenye Scale ya PGSS [emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha niitikie tu ila sijazijua hizo[emoji3]taasisi zenye Scale ya PGSS [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuvute subira kama amekwama kwa jambo la kawaida atarudi, pia kama kuna jambo limemkwamisha ambalo lipo nje ya uwezo wake, basi tumuombee aweze kulikabili na kulishinda
Wizy shida kubwa alikua ana uhakika mkubwa wa kulamba asali,nadhani kilichomnyima ujasiri kabisa ni kwamba wengi kwenye Uzi walikua wanamtarajia.
Suala la Wizy hata mimi nalitafakari haiwezekani mtu apotee ghafla tu
Bado mkuu. Naendelea kufuatilia.Vipi mkuu ile issue yako ulifikia wapi?
tulaleni tu jamanNdio tulale na ukimya huu ee, mzee wa flash naye hataki kutuwekea kapdf cha kusherehekea ushindi wa Messi
Duniani twapita, huwezi kujua.Suala la Wizy hata mimi nalitafakari haiwezekani mtu apotee ghafla tu
Nicheki Pm mkuu nikue connectionMajobless wenzangu.....nimesomea mobile phone repair DIT ilikuwa online course ya bure.....Je naweza kupata workshop gani niweze kufanya kwa vitendo?
Pole sana bro
Jitahidi sana aisee, Asali ipo hatarini kuyeyuka hapo
Mkuu Kuna kufuatilia kitu Huku kikikupa moyo kuwa kufanikiwa kupo,, Sasa huko kufuatilia kwako Hadi leo kama unmnavyosema Kuna uhakika wa kufanikiwa au Kuna njia yoyote unaiona ya kufanikiwa jambo lako..? Isiwe watu washakusahau na wanaendelea na majukumu Yao Ila mwenzangu bado unaona wanashughulikia..
Kaka hivi nawewe ulipata IAEStress nishamuachia Ahmet mie hata siwazi Nikirudi mwezi wa kwanza naanza kuapply kazi upya kama kawaida
Leo j4 siku mahsusi ya Placement, tukae chonjoMwaka uishe bila placement kweli jamani
Wale wa NAOT & HESLB mjiandae,, barua zeko tayari.. andaeni nauli za kwenda PSRS kufuata barua 😁Leo j4 siku mahsusi ya Placement, tukae chonjo
Sawa na kusema CCM wanaachia hatamu kesho[emoji3][emoji3][emoji3]Wale wa NAOT & HESLB mjiandae,, barua zeko tayari.. andaeni nauli za kwenda PSRS kufuata barua [emoji16]
wale wa MNH toka mwezi wa 9Wale wa NAOT & HESLB mjiandae,, barua zeko tayari.. andaeni nauli za kwenda PSRS kufuata barua 😁