Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wizy shida kubwa alikua ana uhakika mkubwa wa kulamba asali,nadhani kilichomnyima ujasiri kabisa ni kwamba wengi kwenye Uzi walikua wanamtarajia.

Aisee hili nalo linawezekana sana Mkuu, japo tukitafakari zaidi suala la kupata na kukosa ni la kawaida na hata hivyo yeye anauzoefu na kukosa hivi ni kweli kukosa ndiko kumfanye akose amani kwa kipindi chote hiki?
 
Suala la Wizy hata mimi nalitafakari haiwezekani mtu apotee ghafla tu

Yani Mkuu ni kweli sana, hiki sio kitu cha kawaida kabisa. Hata kupotea angalau mtu anaweza kuadimika kwa siku mbili au tatu ikizidi sana ni wiki anakuwa kama ni msongo wa mawazo umepungua.

Na hata hivyo humu ni miongoni mwa sehemu rahisi ya kutafutia faraja ambapo naamini angekuwa na maumivu kuna uwezekano mkubwa angeonekana humu muda mwingi zaidi.

Ila kwa kuwa hatuna chakufanya kwa sasa ngoja tuvute subira.
 
Bado mkuu. Naendelea kufuatilia.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Mkuu Kuna kufuatilia kitu Huku kikikupa moyo kuwa kufanikiwa kupo,, Sasa huko kufuatilia kwako Hadi leo kama unmnavyosema Kuna uhakika wa kufanikiwa au Kuna njia yoyote unaiona ya kufanikiwa jambo lako..? Isiwe watu washakusahau na wanaendelea na majukumu Yao Ila mwenzangu bado unaona wanashughulikia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…