Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Hakikaila yatakiwa tuishi nao kwa akili sana
Ingia huko uwe unasoma nyuziπHapana yamenishinda ya hukoo[emoji23]. People are suffering[emoji24]
ur welcomeAsante sana sana, mara tu baada ya kuniuliza ndio nimekiwa gudi sasa.
Hapo sasa amani ipo.
Mh jicho tena mkuuhilo jicho lako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sasa jaman hilo jicho mmelionea wapi[emoji23][emoji23][emoji23] Jicho linavuta, unahisi moyo umemwagiwa maji ya uvuguvugu
Kwenye avatar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sasa jaman hilo jicho mmelionea wapi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hatariKwenye avatar
Acha tukatafute pesa kwanza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hatari
na tutazipata tu Ahmet,mungu ni mwemaAcha tukatafute pesa kwanza
πππna tutazipata tu Ahmet,mungu ni mwema
πππYaani ile siku nimeona jina langu hata sikulala, acha tu Kuna furaha kuona placement Iko na jina lako, utaitunza iyo pdf kama kiatu Cha dhahabu
Unamaanisha macho?hilo "jicho" lako
hahahaha, vijana wa ovyo sana!!Unamaanisha macho?
Wanataka wampoteze tu "da' PGO"Mtimishi mnamuelekeza wapi tena?!
Kwnye jukwaa la mahusiano auTafuta uzi wa kijana wetu wa hovyo rikiboy kwenye huu uzi pia anashiriki utafurahi mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23], Sirudi kwa kweli. Marriage is 80% a scam. People are crying[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu mara kabila, huyu mke wake hamuelew, huyu mchepuko. Wanaume wa humu nawaombea mpate kazi aisee, nmegundua wanawake wanawanyanyasa wanaume wakikosa kazi tu dk chache,Mtimishi mnamuelekeza wapi tena?!
Ndoa bila kua na kazi, atakua mke wa community!![emoji23][emoji23][emoji23], Sirudi kwa kweli. Marriage is 80% a scam. People are crying[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu mara kabila, huyu mke wake hamuelew, huyu mchepuko. Wanaume wa humu nawaombea mpate kazi aisee, nmegundua wanawake wanawanyanyasa wanaume wakikosa kazi tu dk chache,