Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

"Kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa maji"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Jamani me napenda kuwaona watu wanapendana. Yaan mwanaume ukiona mwanamke wako ana vidalili vya kupenda hela from day one umemuapproach siku zikiisha kazi unayo. Hapa tofautisha kupenda hela na kuwa na shida.
 
Ila wanaopenda hela wanajua sana mapenzi, maana mapenzi kwao ni kazi!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Jamani me napenda kuwaona watu wanapendana. Yaan mwanaume ukiona mwanamke wako ana vidalili vya kupenda hela from day one umemuapproach siku zikiisha kazi unayo. Hapa tofautisha kupenda hela na kuwa na shida.
Hela yenyewe ndio inarun Dunia, sijui tufanyeje..
 
asaivi sikukuu hakuna placement hadi january tufarijiane tu tukiandaa panadol tukandwe vizuri ila sipati picha nami jina langu likitokea kwenye pdf ntashinda ntalala ntagalala kumuomba mungu

Hahahaha! Mkuu unaonaje kama ukishinda unagalagala muda huu kumuomba Mungu kabla placement haijatoka ili ikitoka uwemo!?
 
Hahahaha! Sawa Mkuu, pia ni wazo zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…