Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23], Sirudi kwa kweli. Marriage is 80% a scam. People are crying[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu mara kabila, huyu mke wake hamuelew, huyu mchepuko. Wanaume wa humu nawaombea mpate kazi aisee, nmegundua wanawake wanawanyanyasa wanaume wakikosa kazi tu dk chache,
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

"Kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa maji"
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

"Kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa maji"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Jamani me napenda kuwaona watu wanapendana. Yaan mwanaume ukiona mwanamke wako ana vidalili vya kupenda hela from day one umemuapproach siku zikiisha kazi unayo. Hapa tofautisha kupenda hela na kuwa na shida.
 
Ila wanaopenda hela wanajua sana mapenzi, maana mapenzi kwao ni kazi!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Jamani me napenda kuwaona watu wanapendana. Yaan mwanaume ukiona mwanamke wako ana vidalili vya kupenda hela from day one umemuapproach siku zikiisha kazi unayo. Hapa tofautisha kupenda hela na kuwa na shida.
Hela yenyewe ndio inarun Dunia, sijui tufanyeje..
 
asaivi sikukuu hakuna placement hadi january tufarijiane tu tukiandaa panadol tukandwe vizuri ila sipati picha nami jina langu likitokea kwenye pdf ntashinda ntalala ntagalala kumuomba mungu

Hahahaha! Mkuu unaonaje kama ukishinda unagalagala muda huu kumuomba Mungu kabla placement haijatoka ili ikitoka uwemo!?
 
Uko sahihi ila mtazamo wangu na kulingana na mazingira ya bongo bora utamani kujiimarisha kiuchumi kuliko na kielimu(mf PhD ambazo ndio hazina msaada kabisa).

Matajiri wetu wa kibongo si unawaona walivyo na elimu ya kawaida kabisa na wanarun mambo makubwa.!?

Hapa nilipo nawaza huyu mwanangu endapo nikipata chance ya kumuingiza kwenye mpira(kupata Academy ingawa bongo tupo usingizi wa pono upande wa mpira) namsukumizia huko. Watoto wanatoboa wakiwa na miaka 19 tu, huku kwetu ndio kwanza wanakimbizana na kidato cha 4 ambapo kuna uwezekano wa kufaulu au kufeli.

Hahahaha! Sawa Mkuu, pia ni wazo zuri sana.
 
Back
Top Bottom