Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mi nadhani katoa fact tu Katika maisha ,ila ni Ile fact chungu tu😄,kubwa tuendelee kupambana bila kukata tamaa
 
asante mkuu ,mshahara wa TRA take home ni beigani
unaulizia mshahara wakati bado hujajua umekanda au umekandwa ipende kazi yako kwanza usiweke masilahi mbele kuliko kazi ukibahatika kuwa mtumishi wa umma wajali unaowafanyia kazi maslahi kama unataka uende kuajiriwa private sector NGOs kuwa mzalendo na nchi yako
 
aisee fikra yako ipo opp sana ndugu mbona una panic sana kwa kujiongelea tu ,kwa bahat mm simo kwenye hizo saili ila kuna mtu kaniuluza, tatizo ni nn? kama hujui bora unyamaze ndugu ha ha
 
aisee fikra yako ipo opp sana ndugu mbona una panic sana kwa kujiongelea tu ,kwa bahat mm simo kwenye hizo saili ila kuna mtu kaniuluza, tatizo ni nn? kama hujui bora unyamaze ndugu ha ha
Nimepanic wapi nambie mshahara hauulizwi mtandaoni atafute watu walioko Kwenye system watamuambia ila humu huwezi pata Majibu ya ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…