Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wasomi mnalalamika sana. Hata hao unaowaona kama wanetoboa wana magumu yao sema hawapigi kelele kama wewe, tujifunze kuwa wavumilivu jamani otherwise inakera sana masikioni, ndiyo maana hata darasa la saba wanatudharau kwa sasa.

Remember, life is not a straight corridor that you walk unhampered but a maze puzzle where you have to find your lost path every now and then.

Be strong. Acha kulalamika. Kama unapata fursa ya kusoma kasome tu.

Pesa utazikuta na utazipata, zipo kwa watu wewe toa huduma kwa watu ukisaidiwa na ubunifu wa taaluma yako. Amini nakuambia, kwa sasa hauna kipato so unajiona looser, ukweli ni kwamba una kila nyenzo ya kukuwezesha kupata kipato as long as you are alive and healthy.
Mi nadhani katoa fact tu Katika maisha ,ila ni Ile fact chungu tu😄,kubwa tuendelee kupambana bila kukata tamaa
 
asante mkuu ,mshahara wa TRA take home ni beigani
unaulizia mshahara wakati bado hujajua umekanda au umekandwa ipende kazi yako kwanza usiweke masilahi mbele kuliko kazi ukibahatika kuwa mtumishi wa umma wajali unaowafanyia kazi maslahi kama unataka uende kuajiriwa private sector NGOs kuwa mzalendo na nchi yako
 
aisee fikra yako ipo opp sana ndugu mbona una panic sana kwa kujiongelea tu ,kwa bahat mm simo kwenye hizo saili ila kuna mtu kaniuluza, tatizo ni nn? kama hujui bora unyamaze ndugu ha ha
 
aisee fikra yako ipo opp sana ndugu mbona una panic sana kwa kujiongelea tu ,kwa bahat mm simo kwenye hizo saili ila kuna mtu kaniuluza, tatizo ni nn? kama hujui bora unyamaze ndugu ha ha
Nimepanic wapi nambie mshahara hauulizwi mtandaoni atafute watu walioko Kwenye system watamuambia ila humu huwezi pata Majibu ya ukweli
 
jobless tumekumbukwa sio mbaya💪💪💪
 
Attachments

  • Screenshot_20221225-191352.png
    Screenshot_20221225-191352.png
    156.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom