Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Zile nafasi zingine zimekosa watu(wengine walikandwa).

Kuhusu kutangazwa upya, wao PSRS ndio wanajua lini watafanya hivyo
 
Zile nafasi zingine zimekosa watu(wengine walikandwa).

Kuhusu kutangazwa upya, wao PSRS ndio wanajua lini watafanya hivyo
Maana mkuu mwifwa zilikua za tutorial assistant kuna wengine wapo pale wanafundisha ila wamekandwa pia labda nikajua chuo kimefanya mchongo na PSRS kibakishe wale wanaofundisha pale ndo nikawaza ivo je apo imekaaje mkuu
 
asante mkuu ,mshahara wa TRA take home ni beigani
Tax Management Officer II/Customs Officer II
Basic Salary Tsh 2,340,000
Less PSSSF @5% Tsh 117,000
Less PAYE Tax Tsh 494,900
Less NHIF @3% Tsh 70,200
Take home/Net Pay Tsh 1,657,900
(hii ni kama ulisoma bila mkopo wa HESLB, kama ulikua na mkopo utaongezea hapo kwenye kutoa)
 
Duh jamaa wanakatwa sana
 
Maana mkuu mwifwa zilikua za tutorial assistant kuna wengine wapo pale wanafundisha ila wamekandwa pia labda nikajua chuo kimefanya mchongo na PSRS kibakishe wale wanaofundisha pale ndo nikawaza ivo je apo imekaaje mkuu
Hao itakuwa wanapiga part time au wanapiga kwa mikataba na wala sio ajira rasmi.

NB: Sina uhakika, nimewaza tu hivyo
 
Duuhh, mambo hovyo kabisa.

Nimeshika kalamu ili nijionee kwa upande wangu endapo nikipata mrija wa Asali.

Nikijumlisha makato yote(PSSSF, NHIF, PAYE na HESLB) yatakuwa na jumla ya 43%. Kwa hiyo take home nitaondoka na 57% ya mshahara, kiasi ambacho kitakuwa chini ya mshahara wa Mwl wa Secondary mwenye Degree 1

Tuusake mrija wa Asali ila tuwe na akili mbadala ya kujikwamua
 
Ofcourse ndo mana juzi kuna jama nilishangaa sana alivyoambiwa kiwango cha TGS E akafurahia sana akasema amepata moto wakufuatilia placements...ila akikukatana na hali halisi ndo atajua.
 
Na hapo usiombe uangukie local government, hehe lazma uipate pate.
 
Ofcourse ndo mana juzi kuna jama nilishangaa sana alivyoambiwa kiwango cha TGS E akafurahia sana akasema amepata moto wakufuatilia placements...ila akikukatana na hali halisi ndo atajua.
Hii ndio bongo aisee.

Ila mwendazake aliweka panga kali sana HESLB, 15% ni nyingi sana.

Usipopata mrija wenye marupurupu ni majanga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…