Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Zile nafasi zingine zimekosa watu(wengine walikandwa).ivi wakuu utumishi sijawaelewa kitendo cha kutangaza nafasi tano then kazini wanaitwa watu watatu alafu ni taasisi mbili kada hiyohiyo moja sjaelewa apo na sijaona readvertise hiyo post wala kutokea kanzidata mwenye kujua ufafanuzi apo naomba muongozo apo
Kuhusu kutangazwa upya, wao PSRS ndio wanajua lini watafanya hivyo