Hahaha asee hatari sanaKuwa mpole mkuu, Utumishi matokeo yao huwa ni ya kushangaza sana.
wanaweza kushangaza halimashauri kuu ya kichwa 😂😂Kuwa mpole mkuu, Utumishi matokeo yao huwa ni ya kushangaza sana.
hadi january kuanzia tarehe 3Placement ziko njiani wadau jamaa wa flash amerudi kutoka moshi,,,,
Mnavyoisema January kama vile ni mwaka kesho June kumbe ni week hii[emoji23][emoji23][emoji23]hadi january kuanzia tarehe 3
Hahahaha shida siku aziendMnavyoisema January kama vile ni mwaka kesho June kumbe ni week hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah page ya placement nyeupe subirini new anytime,,Mnavyoisema January kama vile ni mwaka kesho June kumbe ni week hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa, ndio hiyo njaanuary ni mwaka keshoMnavyoisema January kama vile ni mwaka kesho June kumbe ni week hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nlisahau hadi full citation ya constitution upande wa year, yaan hiyo 1977 ilitoka kichwan kabisa nikasema 1970. Nlivyotoka nlijiona kilaza hatariTUNAOKUMBUKA MAJIBU BAADA YA KUTOKA KWENYE INTERVIEW TUFARIJIANE
Usijali kama ni muda wako itakua tuMimi nlisahau hadi full citation ya constitution upande wa year, yaan hiyo 1977 ilitoka kichwan kabisa nikasema 1970. Nlivyotoka nlijiona kilaza hatari
Juzi sheria za importation na exportation kwenye custom zilinitoa jasho, nilishawah kuzisoma zaid ya mara kumi!!!Mimi nlisahau hadi full citation ya constitution upande wa year, yaan hiyo 1977 ilitoka kichwan kabisa nikasema 1970. Nlivyotoka nlijiona kilaza hatari
Mimi nlizikumbuka, sema ubaya kwenye ule mtihan vitu vingi nlikuwa nmesoma ila nafika mle kiwewe nimesahau, yaan nlikuwa nadonoa donoa mpaka sio poa. Atakaesahihisha mtihani wangu atacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi sheria za importation na exportation kwenye custom zilinitoa jasho, nilishawah kuzisoma zaid ya mara kumi!!!
Kuweni wapole matokeo yanaanza kutoka hivi punde - Mkandaji Mkuu
Shida ni hapo ni kuonesha uwezo wako wa presentation na kujibu maswali yako baada ya presentationNahisi itakuwa Ile passMark Yao,,, si wanasema wanaanza na 70...?
Hii ni kubwa
Dah cive siyo poa mle....Mimi nlizikumbuka, sema ubaya kwenye ule mtihan vitu vingi nlikuwa nmesoma ila nafika mle kiwewe nimesahau, yaan nlikuwa nadonoa donoa mpaka sio poa. Atakaesahihisha mtihani wangu atacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka karibu tena....Shida ni hapo ni kuonesha uwezo wako wa presentation na kujibu maswali yako baada ya presentation
Maana Ahmet anaexperience nayo hii..
.ukikiuta POST Teaching zmekuwa re-advertised pengine hakuna watu wenye vigezo hivyo mfn
Chuo X kinataka lecture ila kinataka PhD ,au assistant lecture kinataka master baadhi ya coz watu ngumu kusoma au vigezo vya UFAULU wa masters na degree
Leo naona siku yakaribia kuisha bila placement😊Kuweni wapole matokeo yanaanza kutoka hivi punde - Mkandaji Mkuu