Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi kwa zile kada amabazo baada ya written hufanya practical je status huwa inabadilikaje mana kuna jamaa kafanya written now status imebaki shortlisted bila ya kuwa na namba na maelezo mengine hii kiutalamu imekaahe???
 
Mimi nlisahau hadi full citation ya constitution upande wa year, yaan hiyo 1977 ilitoka kichwan kabisa nikasema 1970. Nlivyotoka nlijiona kilaza hatari

Mimi nlizikumbuka, sema ubaya kwenye ule mtihan vitu vingi nlikuwa nmesoma ila nafika mle kiwewe nimesahau, yaan nlikuwa nadonoa donoa mpaka sio poa. Atakaesahihisha mtihani wangu atacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole utakuwa ulipanick ,huwa inatokea , ila utatoboa , inshallah .,Mungu kama amepanga uwepo itakuwepo kwenye selections
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…