Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Karibu sana, kuna muda nawaza hivi nkipataga kazi biashara yangu namuachia nani, nawaza nakuwazua
Biashara usiache, ushatengeneza msingi wake, ukipata mrija wa Asali tafuta mtu sahihi wa kumuajiri halafu umsimamie kwa ukaribu.

Bora wewe ushaanza, wengi wetu ndio ndoto zetu pindi tukipata mrija tuje tuanzishe kitega uchumi cha namna hiyo.
 

Kuitwa kwenye usaili ukiwa tayari mtumishi kwa maana tayari una check number itakuwa ni ngumu sana kwako ku switch hyo kazi. Kumbuka maombi uliyafanya kipindi ukiwa hauko kwenye system na hukuwa na kibali cha mwajili wako.

Pia, hata kama una kibali cha mwajili, kama ni mtumishi mpya huwa bado ni kipengele sana mpaka mwajili akuruhusu kuondoka.
 
Mkuu,,, mapema yote hiii..!!!!.. tusubiri Hadi saa 6 usiku kama hamna kitu basi tutegemee January maana kesho weekend ni uongo
Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
 
Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
Dah itakuwa Njema sana,tujue mbivu na mbichi kama tumefunga mwaka na Ajira mpya au lah.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…