Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Ila mkuu hayo mambo yakuhama taasisi nikipengele mno ukiwa mwajiriwa mpya japo inawezekana, kwa sabab umesema una received TPDC hadi uje ufike oral, mpaka placement yaweza pita hata miezi 6 au 7 na probably utakua na chek no teyari ndio shida.Shukrani sana mkuu [emoji120]