Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
Mkuu Makofia unavyotype kwa kujiamini utadhan kama uko pale PSRS labda hata kwa kujitolea😁😁
 
Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
Ili tamko litafanya watu wawe wana refresh web kila baada ya dk 3😅😅😅😅 na kuongeza maombi kwa kasi ya juu.
 
Mimi Kuna jamaa namfahamu alitoka kwenye Taasisi Moja kwenda nyingine na hapo alikuwa na muda mchache tokea aanze kazi kwenye hiyo taasisi, but nmekuelewa boss, I'll take my chances nione itakuwaje.
 
Lazima uwe umeshafanya kazi Zaid ya mwaka nazani ndo unaweza kuhama na hapo Boss awe Hana uhitaji na wewe ndo anaweza kukupa ruhusa ya kuhama tofauti na hapo atasema nakuhitaji na huwezi hama bila barua yenye mhuli wake tofauti na hapo utatafuta matatizo tu
 
Hili swali lako limeniacha hoi kidogo, unahisi Custom officer ni kazi ya hadhi ya chini, sio?
Hapana boss, sikuidharau position ila tu sikutegemea kama kutakuwa na gape kubwa ya net salary kiasi hicho maana hapo gap ya net salary ya TA na customs officer inafika hata 600k+ and that's a lot mkuu.
 
we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
 
Ina tegemea lakini kama ni masters za masomo ya science ni rahisi kupata scholarship mambele
 
we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
Yeah, ni kweli boss unayoyasema SEMA tu Taasisi nyingine huwezi omba uhamissho maana ofisi zipo sehemu Moja tu so option ni Moja TU ya kuhama, na ingekuwa otherwise huenda nsingewaza Hivi, Pia kuwa kwenye system is cool ila kupata mazingira mazuri ya kufanyika kazi ni coolest zaidi ndo maana watu wanahama Taasisi boss wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…