Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
Mkuu Makofia unavyotype kwa kujiamini utadhan kama uko pale PSRS labda hata kwa kujitolea😁😁
 
Kuna dalili kubwa wakatoa leo au jumamos,,,,,barua zishaenda masijala ya wazi karibia zote ni kutangaza tu usishangae ukajikuta taasisi tamu kinoma kama ulipiga oral na kukosa nafasi kutokana na uchache ila ulifaulu
Ili tamko litafanya watu wawe wana refresh web kila baada ya dk 3😅😅😅😅 na kuongeza maombi kwa kasi ya juu.
 
Kuitwa kwenye usaili ukiwa tayari mtumishi kwa maana tayari una check number itakuwa ni ngumu sana kwako ku switch hyo kazi. Kumbuka maombi uliyafanya kipindi ukiwa hauko kwenye system na hukuwa na kibali cha mwajili wako.

Pia, hata kama una kibali cha mwajili, kama ni mtumishi mpya huwa bado ni kipengele sana mpaka mwajili akuruhusu kuondoka.
Mimi Kuna jamaa namfahamu alitoka kwenye Taasisi Moja kwenda nyingine na hapo alikuwa na muda mchache tokea aanze kazi kwenye hiyo taasisi, but nmekuelewa boss, I'll take my chances nione itakuwaje.
 
Kwani ukiwa na check no huwezi kuama Taasisi boss ?

Mimi Kuna jamaa namfahamu alitoka kwenye Taasisi Moja kwenda nyingine na hapo alikuwa na muda mchache tokea aanze kazi kwenye hiyo taasisi, but nmekuelewa boss, I'll take my chances nione itakuwaje.
Lazima uwe umeshafanya kazi Zaid ya mwaka nazani ndo unaweza kuhama na hapo Boss awe Hana uhitaji na wewe ndo anaweza kukupa ruhusa ya kuhama tofauti na hapo atasema nakuhitaji na huwezi hama bila barua yenye mhuli wake tofauti na hapo utatafuta matatizo tu
 
Hili swali lako limeniacha hoi kidogo, unahisi Custom officer ni kazi ya hadhi ya chini, sio?
Hapana boss, sikuidharau position ila tu sikutegemea kama kutakuwa na gape kubwa ya net salary kiasi hicho maana hapo gap ya net salary ya TA na customs officer inafika hata 600k+ and that's a lot mkuu.
 
we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
 
We ukifika tu hapo na kuzoeana na watu wa department yako waulize wale wenye masters na phd umesoma wapi ...ukiuliza kazi ya 10 lazima 6 au zaidi kati ya hao wengi watakujibu wamesoma mbele kama sio masters basi phd ....ni mara chache sana mtu (walimu wa vyuo vikuu) kusoma degree ya 1 bongo, masters bongo na phd bongo ni nadra sana. Nakuomba ukifika fanya utafiti na uje utupe ushuhuda humu
Ina tegemea lakini kama ni masters za masomo ya science ni rahisi kupata scholarship mambele
 
we mshukuru mungu ushapata kazi tulia ndugu mtaka yote kwa pupa hukosa yote waachie wenzio nafasi ushakua kwenye system
Yeah, ni kweli boss unayoyasema SEMA tu Taasisi nyingine huwezi omba uhamissho maana ofisi zipo sehemu Moja tu so option ni Moja TU ya kuhama, na ingekuwa otherwise huenda nsingewaza Hivi, Pia kuwa kwenye system is cool ila kupata mazingira mazuri ya kufanyika kazi ni coolest zaidi ndo maana watu wanahama Taasisi boss wangu.
 
Back
Top Bottom