Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Amen na iwe hivyo[emoji120], Mungu ni wetu sote na anaona kila hatua ya mapambano tunayopitia, wakati wake ni sahihi sana kuliko matarajio yetu naamini tutafurahia sana. Tufanikiwe sote kaka.
Kabisa, That is great. Uzuri mkuu mm nachokiamini haya ni mapito tunapitia ili utukufu wake ukadhihirike kupitia sisi na kuwapa moyo wengine, tumeona humu jf wengi wanakwambia since 2018 wanasaka mrija na leo hii wametoboa, that is reality of matter of time....Lets keep it up our day is coming,,,,,,hii pia itatufundisha namna ya kumtreat jobless na heshima ya kazi tutakayoipata. Naheshimu sana muda,,,, its matter of timr lets play our party God will bless us....on the way to 2023 year of success all of us
 
You nailed and said all. In the name of Almighty God, Amen.[emoji120][emoji3577]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…