Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza ncheke

Me binafsi nilifanya oral mwez3 mwaka huu mpk leo ziiiiii!!!! na june wenzangu waliitwa kazn, na kuna mwingine alikuwa database akaitwa september na ni mwanangu, lkn kiroho safi kbs najua kwa wakati ule haikuwa ridhiki yangu its just normal tu ni suala la muda tu tunajifunza tunasonga mbele wakati ukifika tutacheka sana! Mema yako mbeleee...2023[emoji3]
Sasa nashangaa yeye kukosa anakimbia kimbia utadhani ndo mwisho wa maisha, utadhani kwamba kazi za serikalini ndio zipo nchini, tumemshusha vyeo.
 
Me naona aseme tu ukweli, hatutakuwa na lingine, humu nimeona wengi tu wamekosa na nikiwemo mm mwenyewe kwahiyo ni kawaida muda unakuwa bado,
Pia km kapata aseme pia haina ubaya
 
Zenu mkuu ata kama sio ww basi wengine, mpaka mm nashangaa coz angekua wa kawaida msinge mpa mtu attention kiasi ichi atakama aliondoka akarud kwa id mpya. haijarish ata kama mnamwona coward kiasi mnavo ni attack mm ndo ukubwa wake pia upo ivo ivo.
Watu wanamuongela sababu tu walikua wanataka feedback ya matokeo yake sababu alikua anashadadia sana status, na kwa maelezo yake, kwake every interview was easy na kila interview anafika oral...sasa watu wakawa curious kujua matokeo yake nothing more.
 
Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
Naomba wakuu kwa issue ya wizy tuwe na positive mindset. Hatujui ni yapi yaliyomsibu hadi akapotea hewani. Msisahau sisi ni wanadamu na tunapitia challenges nyingi sana. Unaweza kuta anaumwa seriously na hatujui!

Kwa jinsi wizy alivyokuwa kuwa mpambanaji sidhani kama issue ya kutoonekana kwenye placements ndio kumfanye aukimbie uzi huu
 
Challenges zilikuja hapo hapo baada ya placement kutoka? Yani 1 hour kabla ya pdf alikua online ile siku na still alikuja tena online...hata ka text kamoja ka feedback ashindwe??
 
Watu wanamuongela sababu tu walikua wanataka feedback ya matokeo yake sababu alikua anashadadia sana status, na kwa maelezo yake, kwake every interview was easy na kila interview anafika oral...sasa watu wakawa curious kujua matokeo yake nothing more.
Na ndo nacho kisema mm pia, watu walimpa attention kubwa kiasi cha kuwa karibu wote humu walikua wanasubir feedback kutoka kwake ni watu wachache sana kwenye ii dunia wanaweza fanya asilimia kubwa ya watu waweke attention kwao, asili ya binadamu anapokikosa kitu alichokiwekea attention kubwa huwa anaenda tafuta kitu kinachofanana na kile ki kidhi haja yake, na hapo ndo mkani tupia mm huu mzigo wa dhambi. Ila kijana kama hakupata shida akakimbia from nowhere alizingua sanaa sio kwa kuni attack huku.
 
Sio kama watu wana attention sana kwake, watu wanataka feedback kwake kama amepita ile wapewe hints na wao waweze kutoboa na kingine generally humu watu wanatakaga feedbacks sababu inawapa relief kua inawezekana, waongeze juhudi kupambana na wao watoboe.
 
Watu kusubiria feedback kutoka kwake io io ndo attention kaka.
 
Na ndo nacho kisema mm pia, watu walimpa attention kubwa kiasi cha kuwa karibu wote humu walikua wanasubir feedback kutoka kwake ni watu wachache sana kwenye ii dunia wanaweza fanya asilimia kubwa ya watu waweke attention kwao, asili ya binadamu anapokikosa kitu alichokiwekea attention kubwa huwa anaenda tafuta kitu kinachofanana na kile ki kidhi haja yake, na hapo ndo mkani tupia mm huu mzigo wa dhambi. Ila kijana kama hakupata shida akakimbia from nowhere alizingua sanaa sio kwa kuni attack huku.
So mzee wizy kama unaona tunakupa sana attention sijui tunakufagilia umebugi, nobody gives a shit.
 
Back
Top Bottom