moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jobless yupo daraja la juu kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jobless yupo daraja la juu kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ki ukweli ningekua og wizy halafu hii scenario ipo ivo yani nimekimbia afu nimerudi. Wanavo ni attack hiv nisinge himili, ila hainisumbui coz ukweli ni kua mm sio yeye.Huyu mjuba mlivomkamia nadhani atakuwa ana hali mbaya sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah!Kurudi kwa ID mpya ndio kaharibu zaidi, tulikuwa tushampotezea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Ki ukweli ningekua og wizy halafu hii scenario ipo ivo yani nimekimbia afu nimerudi. Wanavo ni attack hiv nisinge himili, ila hainisumbui coz ukweli ni kua mm sio yeye.
moneytalk subiri march placement kwahiyo kalalie mgongo saivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ni Wizy nasema huyu ni Wizy. Wizy na status hata umwambie nini hawezi kubadilika kama Ubishi na MuhaIii issue ni simple sana niliitaji kumjua mtu niliefananishwa nae. Nili comment makusudi tu. Nimepitia comment zake nyingi mpaka nikagundua kuwa issue ya status ni simple sana.
kwa research yangu status za web zinachange sana sidhani kama zina effect kwenye kutokea jina la mtu kwenye pdf isipokuwa only pale utapo andikiwa not shortlisted.
base na app coz inaonesha waliopata kazi 99% wana selected for null, coz sijaona case kwenye comment zake wizy mtu kawa not selected for null kapata kazi, pia ukiwa selected for null manake na hisi umefanya oral fresh sio gurantee ya ww kupata kazi. So kikubwa after oral play upate kwenye app selected for null, the rest mwachie mungu.
Hahaha hapa ndo mnapo yumba hakuna ata mmoja wenu mwenye 100% mm ni wizy from nowhere kijana mlikua mmemiss sana inavo onekana jina lake mda wote lilikua lina exist kwenye brain za watu wengi humu ndani.Kurudi kwa ID mpya ndio kaharibu zaidi, tulikuwa tushampotezea
Mzee bado placement za mwezi wa tisa tu hazijaisha, wale wa mwezi wa 10 zitatoka january mwishoni, wale wa mwez wa 11, february mwishoni huko na wale wa mwez wa 12 hao watasubiri mpaka march au April.Wadau mikeka ya placement iliobaki ni ipi tukitoa ya mwezi december?
Utamu wa asali ya gridi ya Taifa tukaupate sote mwaka 2023, Ammen...Naamin soon Mambo yatakuwa vzr wadau tusikate tamaa God is good all the time
Daaah mpk september bado nchi ngumu sana hii![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Niendelee kujifukizaMzee bado placement za mwezi wa tisa tu hazijaisha, wale wa mwezi wa 10 zitatoka january mwishoni, wale wa mwez wa 11, february mwishoni huko na wale wa mwez wa 12 hao watasubiri mpaka march au April.
Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.Hahaha hapa ndo mnapo yumba hakuna ata mmoja wenu mwenye 100% mm ni wizy from nowhere kijana mlikua mmemiss sana inavo onekana jina lake mda wote lilikua lina exist kwenye brain za watu wengi humu ndani.
Ndomana Wkingz ID ya mtu mwingine ikaitwa wizy king tena kwa jinsi mlivomkumbuka mkaenda mbali zaid na kuchukua herufu za wizy kuzifananisha na ID yangu.sio siri kijana ali konga roho za wengi humu ndani kwa inavoonekana. Na anaendelea kuishi atakama hayupo,
Saivi we sahau tu kidogo ikifika february ndo anza kuwaza placementDaaah mpk september bado nchi ngumu sana hii![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Niendelee kujifukiza
Sahihi mkuuUkiwa na kazi ndio nguvu ya kuchagua kazi inakuja![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakati wengine tunapambania kombe la asali hata kwa TGS D, wengine wanatamani kwingine kutoka walipo, turidhike wakuu tunaelewa ni wapi tumetokea hakunaga mshahara unaotosha ulikopangiwa ndio ridhiki yako, kazi kwako tu kujiendeleza na nyanja zingine lkn kikubwa tuwe watumishi wema, turidhike na tutakapokuwa kupata kazi gvt bongo ni neema tu.
Hata wewe una Aifoni, usizani hatujui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani ni mingi tu, Ila mm naikumbuka hii ambayo ni mikubwa NAOT, HESLB, LGA/MDA's walitoa chache Wanasheria mwezi wa 10 na fani zingine mwezi wa 11 mwshoni..Wadau mikeka ya placement iliobaki ni ipi tukitoa ya mwezi december?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza nchekeAlikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
Zenu mkuu ata kama sio ww basi wengine, mpaka mm nashangaa coz angekua wa kawaida msinge mpa mtu attention kiasi ichi atakama aliondoka akarud kwa id mpya. haijarish ata kama mnamwona coward kiasi mnavo ni attack mm ndo ukubwa wake pia upo ivo ivo.Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
Mlikuwa mnawania nafasi ngapi boss na mlikuwa wangapi Oral[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza ncheke
Me binafsi nilifanya oral mwez3 mwaka huu mpk leo ziiiiii!!!! na june wenzangu waliitwa kazn, na kuna mwingine alikuwa database akaitwa september na ni mwanangu, lkn kiroho safi kbs najua kwa wakati ule haikuwa ridhiki yangu its just normal tu ni suala la muda tu tunajifunza tunasonga mbele wakati ukifika tutacheka sana! Mema yako mbeleee...2023[emoji3]
Sure kk, litakuwa limeshiba sanaNadhani ni mingi tu, Ila mm naikumbuka hii ambayo ni mikubwa NAOT, HESLB, LGA/MDA's walitoa chache Wanasheria mwezi wa 10 na fani zingine mwezi wa 11 mwshoni..
So tutarajie kupata pdf iliyoshiba sana this time