Bob renho
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 165
- 488
Hao tutawafikiria March [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Wale wa december je[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao tutawafikiria March [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]Wale wa december je[emoji3][emoji3][emoji3]
Kula maisha mkuu ndani ya mrija wa Asali.Uuu uzii utanitoa damu maana kila mtu anani attack as if mm ni wizy og. Kaka mzoefu wa jf nimetafuta sehemu y kufuta account au ku change id sis wageni tunapata tabu sanaa kuijua jf. Embu nipe maelekezo nifanye maamuz sahihi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njoo PM tuendelee tulipoishia,si wakumbuka?[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]shaur yake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ona sasa mambo mazuri kama hayo eti anayakimbia
Huyo jobless yupo daraja la juu kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi wadau hii app ya Ajira portal kwa iphone users vipi ipo kweli? Kuna mdau anaulizia hapa ni iphone user Jobless[emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana me nilichojifunza ukifanya oral za psrs,Hao tutawafikiria March [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Hivi wadau hii app ya Ajira portal kwa iphone users vipi ipo kweli? Kuna mdau anaulizia hapa ni iphone user Jobless[emoji28]
Jobless iphone userHuyo ni next level haha
Kazi sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana me nilichojifunza ukifanya oral za psrs,
ukimaliza tu anza upya usitegemee assume hujafanya kitu, tafuta kazi km ulikuwa huna maana kusubiri placement ni kisanga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anakuambia uje umuazime suti akachukue barua maana ya kwake ilichakaa kwa kupigwa pasi kila mara wakati anasubiri placements.Weee usinambie[emoji23][emoji23][emoji23], ila hili swala la Wizy linachekesha
BIG SUPRISENikikumbuka jinsi alivyokuwa anakuambia uje umuazime suti akachukue barua maana ya kwake ilichakaa kwa kupigwa pasi kila mara wakati anasubiri placements.
Mara ghafla akatuachia vumbi na kutimka kudikojulikana.
Sikuwahi kuwaza kama angetusurprise namna hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa tunasema "Hakuna siri yawatu wawili" ila kuna siri ya mtu mmoja tu.
Ahsante mkuu[emoji120]Utamu wa asali ya gridi ya Taifa tukaupate sote mwaka 2023, Ammen...Naamin soon Mambo yatakuwa vzr wadau tusikate tamaa God is good all the time
Kula maisha mkuu ndani ya mrija wa Asali.
Sisi ngoja tuendelee kusugua bench, siku yetu ikifika tutaingia pia kwenye mrija kama wewe, ila mimi sitakimbia/jificha kama wewe.
Ngoja niende PM nikajue kijana aliishia wapi na kwa prok maswala ya suti.Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anakuambia uje umuazime suti akachukue barua maana ya kwake ilichakaa kwa kupigwa pasi kila mara wakati anasubiri placements.
Mara ghafla akatuachia vumbi na kutimka kudikojulikana.
Sikuwahi kuwaza kama angetusurprise namna hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa tunasema "Hakuna siri yawatu wawili" ila kuna siri ya mtu mmoja tu.
Kashtukia huenda subaru umelikodi kwa masaa kadhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] sawa Jobless nitatoa wapi ujasiri wa kuforce
Unajipeleka mwenyewe [emoji23]Ngoja niende PM nikajue kijana aliishia wapi na kwa prok maswala ya suti.
Mniombeee lolote laweza kutokea😥😥.Unajipeleka mwenyewe [emoji23]
Kurudi kwa ID mpya ndio kaharibu zaidi, tulikuwa tushampotezeaHuyu mjuba mlivomkamia nadhani atakuwa ana hali mbaya sana