Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Sasa nashangaa yeye kukosa anakimbia kimbia utadhani ndo mwisho wa maisha, utadhani kwamba kazi za serikalini ndio zipo nchini, tumemshusha vyeo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza ncheke
Me binafsi nilifanya oral mwez3 mwaka huu mpk leo ziiiiii!!!! na june wenzangu waliitwa kazn, na kuna mwingine alikuwa database akaitwa september na ni mwanangu, lkn kiroho safi kbs najua kwa wakati ule haikuwa ridhiki yangu its just normal tu ni suala la muda tu tunajifunza tunasonga mbele wakati ukifika tutacheka sana! Mema yako mbeleee...2023[emoji3]