Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mzeee nimeweka router zote mbovu IP address hazifahamiki na ufanye configuration hapo sawa we njoo tu hivyo hivyo na matokeo ya written 🤣
Hahhah daaah, halafu izi mambo za kuchukuliana powa humu, siku utakutana na mtu kutoka humu ni mkandaji meza kuu 😅😅halafu kwa bahat mbaya anakufaham na mmepandishiana sana humu. Wkandaji wa baadae haya mambo yana ongeleka. Tusamehane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…