Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".Hahahaha! Mimi naamini wizy itakuwa alipata kazi ila pengine alihofia akikiri amepata kwa nature ya nafasi aliyoomba ingekuwa rahisi ID yake ya Jf kujulikana yeye ni nani. Kwa hiyo ikamlazimu aikimbie ID kwa kulinda utambulisho wake.
Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity 🤣