Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaha! Mimi naamini wizy itakuwa alipata kazi ila pengine alihofia akikiri amepata kwa nature ya nafasi aliyoomba ingekuwa rahisi ID yake ya Jf kujulikana yeye ni nani. Kwa hiyo ikamlazimu aikimbie ID kwa kulinda utambulisho wake.
Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".

Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity 🤣
 
Hahahahaha! Mkuu, je uko tayari tukujue utambulisho wako halisi?

Ile nafasi ya NAOT inahitaji mtu mmoja tu, na endapo ukapata kazi maana yake watu tutajua moja kwa moja kwamba Mwifwa huyu majina yake halisi ni yale yanayo onekana kwenye placement.

Hii ni nafasi adhimu ya watu wanaokujua kukufuatilia vizuri maisha yako ya Jf.
ID yangu hii niliumiza kichwa kuibuni ikiwa imebeba historia ya maisha yangu pia, Bado sijaona sababu ya kunifanya niikimbie au niibadili.

Yote kwa yote nomba Mungu hili lisitokee la kunifanya niikimbie au niibadili
 
Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".

Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity [emoji1787]
Uzuri msichokijua ni kuwa mimi kwa ground ni miongoni mwa wale akina Mandonga mtu kazi[emoji3][emoji3][emoji3].

Kufika kwenye oral haikuwa battle ya kitoto, jamaa yangu niliyeambatana naye kwenye mikando ya written alifika oral zote 3 na placement ya pili kati ya alizofanyia Oral kapata pamoja na wizy pale ORCI.

Nafasi ya NAOT hakuapply na kama angeapply lazima angefika oral.

Kwa hiyo Mwifwa wa JF ni tofauti na Mwifwa wa kitaa ambaye ndio alipambana kwenye mikando hadi akakandika ipasavyo.

Target yangu kwenye Oral ni kubaki database maana kutoboa miongoni mwa wale niliokuwa nao ni vigumu ingawa mmojawapo alishatoboa kwenye placement ya kwanza kwa mwezi December na huenda akaipata na hii nafasi tunayoiwania.

Tusubiri tu placement ya NAOT itaprove hayaninayoeleza hapa.
 
Bro Mungu ni mwema I feel you
 
Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".

Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity [emoji1787]

Hahahahaha! Tujiandae kisaikolojia kumpoteza Mwifwa kwenye huu uzi.
 
ID yangu hii niliumiza kichwa kuibuni ikiwa imebeba historia ya maisha yangu pia, Bado sijaona sababu ya kunifanya niikimbie au niibadili.

Yote kwa yote nomba Mungu hili lisitokee la kunifanya niikimbie au niibadili

Hahahahaha! Hebu tupe jibu endapo NAOT ile nafasi ya mtu mmoja kupata ikitoka umepata utatupa mrejesho wa kweli? Au ndio itabidi utuambie hujapata ili tujue siye wewe?
 
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
 
Usikate tamaa, amini ipo siku yako karibu utapata unachokipenda
 
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Pole sana mzee haujafeli peke yako haikua riziki mim pia nimepigwa ndoige ya prac kikubwa kuvumilia tu na kutokukata tamaa
 
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Kwamba net ilikua on alafu ukshindwa kudesa mambo hahaha
 
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Kwamba net ilikua on alafu ukshindwa kudesa mambo hahah
 
Back
Top Bottom