Ayo ndo mambo nayoshinda nayo kila sikuMzeee nimeweka router zote mbovu IP address hazifahamiki na ufanye configuration hapo sawa we njoo tu hivyo hivyo na matokeo ya written [emoji1787]
Sema nini kaka hi comment yako imeniongezea kitu stay blessedMzeee nimeweka router zote mbovu IP address hazifahamiki na ufanye configuration hapo sawa we njoo tu hivyo hivyo na matokeo ya written [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama hupend jaman rud tuchangamshe genge mpenzi
Hahahaaanachekaga hiv hvi
Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamua ukatafute komenti zake original kabisa
Hahahaha sawa mkuu mambo ya access server and modify file and folder 📁📂📂 Kama yoteSema nini kaka hi comment yako imeniongezea kitu stay blessed
Ndio kanuni zao zinataka iwe hivyoRatio ilikuwa tamu sana 1:3.
Wee kweli ni msomi wa Cuba, naona unampa muongozo kitaalamu sana[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha sawa mkuu mambo ya access server and modify file and folder [emoji416][emoji417][emoji417] Kama yote
Kijana asije Sema hakuambiwa 🤣🤣🤣Wee kweli ni msomi wa Cuba, naona unampa muongozo kitaalamu sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Happy New year to you all members. Mungu akawabariki siku zote za mwaka 2023Kheri ya mwaka mpya 2023 kwa wadau wote/ wapambanaji katika uzi huu.
Tunaomba, mwaka huu 2023 ukafanye malengo yetu katika utafutaji wa ajira yaweze kutimia.
Ameeeen mkuuKheri ya mwaka mpya 2023 kwa wadau wote/ wapambanaji katika uzi huu.
Tunaomba, mwaka huu 2023 ukafanye malengo yetu katika utafutaji wa ajira yaweze kutimia.
Ameen,Happy New year to you all members. Mungu akawabariki siku zote za mwaka 2023
Happy new year too mpendwaHappy new year wapendwa[emoji1431]
Kheri ya mwaka mpya 2023 kwa wadau wote/ wapambanaji katika uzi huu.
Tunaomba, mwaka huu 2023 ukafanye malengo yetu katika utafutaji wa ajira yaweze kutimia.
Weee usinambie[emoji23][emoji23][emoji23], ila hili swala la Wizy linachekesha
Kula maisha mkuu ndani ya mrija wa Asali.
Sisi ngoja tuendelee kusugua bench, siku yetu ikifika tutaingia pia kwenye mrija kama wewe, ila mimi sitakimbia/jificha kama wewe.