Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".Hahahaha! Mimi naamini wizy itakuwa alipata kazi ila pengine alihofia akikiri amepata kwa nature ya nafasi aliyoomba ingekuwa rahisi ID yake ya Jf kujulikana yeye ni nani. Kwa hiyo ikamlazimu aikimbie ID kwa kulinda utambulisho wake.
ID yangu hii niliumiza kichwa kuibuni ikiwa imebeba historia ya maisha yangu pia, Bado sijaona sababu ya kunifanya niikimbie au niibadili.Hahahahaha! Mkuu, je uko tayari tukujue utambulisho wako halisi?
Ile nafasi ya NAOT inahitaji mtu mmoja tu, na endapo ukapata kazi maana yake watu tutajua moja kwa moja kwamba Mwifwa huyu majina yake halisi ni yale yanayo onekana kwenye placement.
Hii ni nafasi adhimu ya watu wanaokujua kukufuatilia vizuri maisha yako ya Jf.
Uzuri msichokijua ni kuwa mimi kwa ground ni miongoni mwa wale akina Mandonga mtu kazi[emoji3][emoji3][emoji3].Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".
Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity [emoji1787]
Mliofanya practical ict TRA mtupe feedback
Bro Mungu ni mwema I feel youUzuri msichokijua ni kuwa mimi kwa ground ni miongoni mwa wale akina Mandonga mtu kazi[emoji3][emoji3][emoji3].
Kufika kwenye oral haikuwa battle ya kitoto, jamaa yangu niliyeambatana naye kwenye mikando ya written alifika oral zote 3 na placement ya pili kati ya alizofanyia Oral kapata pamoja na wizy pale ORCI.
Nafasi ya NAOT hakuapply na kama angeapply lazima angefika oral.
Kwa hiyo Mwifwa wa JF ni tofauti na Mwifwa wa kitaa ambaye ndio alipambana kwenye mikando hadi akakandika ipasavyo.
Target yangu kwenye Oral ni kubaki database maana kutoboa miongoni mwa wale niliokuwa nao ni vigumu ingawa mmojawapo alishatoboa kwenye placement ya kwanza kwa mwezi December na huenda akaipata na hii nafasi tunayoiwania.
Tusubiri tu placement ya NAOT itaprove hayaninayoeleza hapa.
Kuna jamaa nahisi wa jikoni huko, akiibuka tu yeye na za ndani, kama anatoa ufafanuzi unaona kabisa huyu jamaa sio wa hivi hivi, punde tu baada ya placement, alishuhudia kuwa Kijana kalamba asali, naamini pia amelamba asali, issue tu, katika namna ya kujadili maendeleo ya status, details nyingi za nature ya post yake, na uhitaji vilijulikana, so "he has left for good".
Mwifa akisherekea tu baada ya placement, tutamjua yeye and his true identity [emoji1787]
ID yangu hii niliumiza kichwa kuibuni ikiwa imebeba historia ya maisha yangu pia, Bado sijaona sababu ya kunifanya niikimbie au niibadili.
Yote kwa yote nomba Mungu hili lisitokee la kunifanya niikimbie au niibadili
Ha ha ha, uzuri nadhani alisema mwanaume alikuwa yeye pekee yake. Hivyo ni rahisi kujua.Hahahahaha! Hebu tupe jibu endapo NAOT ile nafasi ya mtu mmoja kupata ikitoka umepata utatupa mrejesho wa kweli? Au ndio itabidi utuambie hujapata ili tujue siye wewe?
Unamaana gani mkuuNasikia wametoboa wasiojua
Acha t mkuu zinaumiza sana kichwa hizi saili 3Naona Mikando inaendelea kama kawaida huko PSRS,, yaan watu wanaupokea mwaka kwa Mikando..
Hizi kazi zenye saili zaidi ya 2 naona sio salama kabisa kwa Afya ya Majobless..
Hiyo NOT SELECTED inakata stimu balaaNaona Mikando inaendelea kama kawaida huko PSRS,, yaan watu wanaupokea mwaka kwa Mikando..
Hizi kazi zenye saili zaidi ya 2 naona sio salama kabisa kwa Afya ya Majobless..
Hizi prac hazina janjajanja.. ikikujia vibaya unapigwa zero moja hyo hatari sana tena yenye masikio na macho😂😂😂Hiyo NOT SELECTED inakata stimu balaa
Usikate tamaa, amini ipo siku yako karibu utapata unachokipendaUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Pole sana mzee haujafeli peke yako haikua riziki mim pia nimepigwa ndoige ya prac kikubwa kuvumilia tu na kutokukata tamaaUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Kwamba net ilikua on alafu ukshindwa kudesa mambo hahahaUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Kwamba net ilikua on alafu ukshindwa kudesa mambo hahahUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .