Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hakuna aliyekosa mkuu mie natoa hints tu Kuna watu wanaingia wakiulizwa Hilo swali wanaanza kubabaika.
Yaaah inatokea hii mkuu, sometime ni wenge tu 😁😁, ukute haukuwahi kuongea kingereza hata kwa sekunde 10 mbele ya watu wenye hadhi zao.. So unaona leo wamenikamata dadeq
 
Yaaah inatokea hii mkuu, sometime ni wenge tu 😁😁, ukute haukuwahi kuongea kingereza hata kwa sekunde 10 mbele ya watu wenye hadhi zao.. So unaona leo wamenikamata dadeq
Hahahahahha 🤣🤣🤣🤣Sema English huwa inatusaliti sana Kwa kweli inapoteaga kabisa
 
Wadau kufeli usaili ni kawaida ila tusichoke kujaribu kila tunapopata nafasi, kiuhalisia ni wachache sana ambao wamefanya saili moja na wakatoboa mpaka placement na hao watu wakati wao ulikuwa umefika.

Wengi wetu humu tumefeli written nyingi tu na hatuachi kujaribu na tumefika oral tukakosa placement na hatuchoki kujaribu pia, na tunaendelea kusibiri placement na hatuchoki kujaribu.

Kuna nguvu kubwa sana katika uthubutu... Tuthubutu tusiache kujaribu huenda ile ambayo unayoona wewe usijaribu kwasababu umekandwa sana ndio ikawa yako, wengi mashuhuda.

Tuendelee kuthubutu na Mungu atatenda tu katika katika wakati husika.
 
Kweli Mkuu hakuna kutata tamaa
 
Kabisa kk ila boss wangu unajua sana kuencourage...Nikikua nataka kuwa km wewe soon tu mrijani. Naamini 2023 ni mwaka wetu wa cheque number
🤣🤣 Maisha kupena motisha ili tusonge mbele life mtaani sio jepesi sana mkuu so kama huna wa kukushika mkono huko juu pambana usikate tamaa ukikata tamaa unajikatia tamaa mwenyewe maisha magumu yatakua Yako mwenyewe ndo maana nasisitiza tuendelee kukazaa Buti tu hakuna namna nyingine ya kutoboa
 
Kabisa kk, Huku kitaa hili jua linavyowaka utafikiri linataka kuua!!!
Never give up naishi humu, i believe the best is yet to come....soon tu.
Ile siku ya kukuta jina kwenye pdf daah!!! Usingiz huwa unakujaga kweli!?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kabisa kk, Huku kitaa hili jua linavyowaka utafikiri linataka kuua!!!
Never give up naishi humu, i believe the best is yet to come....soon tu.
Ile siku ya kukuta jina kwenye pdf daah!!! Usingiz huwa unakujaga kweli!?[emoji3][emoji3][emoji3]
Usingizi unakupitia wenyewe ila sio kama siku zote eti useme ngoja nikalale Sasa hahaha kwanza pdf unaifungua kila mda🤣🤣🤣
 
Usingizi unakupitia wenyewe ila sio kama siku zote eti useme ngoja nikalale Sasa hahaha kwanza pdf unaifungua kila mda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii moment huwa ni tamu sana aiseh!
Kuna hawa wa database hawa waliokuwa bench halafu ukute umetupigiwa kitaasisi kitamu,,,,[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna ile moment ya kujiangalia kwenye pdf kisha haumo na ulitarajia saana. Hii kitu inauma sana sana sana!!!
Mkuu humu weka Inspiration tu(Positive) haya mambo ya pdf sijui haupo watu hawayataki kuyasikia😃.. Watu wanaamini pdf ikitoa basi Wamo,, Au sio Mazeeh,, kujipa moyo ni njema sana inapunguza Tension💪
 
Mkuu humu weka Inspiration tu(Positive) haya mambo ya pdf sijui haupo watu hawayataki kuyasikia[emoji2].. Watu wanaamini pdf ikitoa basi Wamo,, Au sio Mazeeh,, kujipa moyo ni njema sana inapunguza Tension[emoji123]
Mkuu umeongea sure and its dream of every one, lkn tunajaribu kushare ili watu waone wanayopitia au waliopitia sio wao wakwanza au wao wa mwisho na hatukukata tamaa mpk leo tupo, unapozungumzia mafanikio(success) kuna failure pia behind na inarudi tena kwenye success...tunakuwa winners. Its just a period of boom and recession WAKONGWE WANAELEWA![emoji3]
 
Hongera mkuu mi sikupata upeo wa kuchomeka cable ya network yao

Ni kweli kaka me pia nimepiga interview utumishi kama nane hivy ila sikuwahi kupata na kila nikiroka nakuaga nandika udhaifu nilioufanya kwenye notebook... last time nilifanya veta siku ya prac imagine microsoft access ilinipiga chenga kutengeneza database na relation zake
 
That step you afraid to make, might be a game changer. Congratulations once again my brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…