Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
Subiri matokeo Mkuu utakula asali
 
Hahahahaaa, Daah.

God forbide!
We mzee hautapotea, najua utajikataa kama umepata, halafu, utaanza kuchangia kutoa uzoefu zaidi ya nn kifanyike kuwakanda wakandaji.

Ukishashikika na majukumu kukabiliana na madudu ya halmashauri huko, utapotea kabisaa, mara chache utaonekana kwa Rickboi
 
Kwa Rickboy Nina kama mwezi sijatembelea kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.

Ngoja upokee 📞📲, upate na fursa ya kucheza na wanafunzi wako,. 🤣😂
 
Psrs hata nafasi ziwe 50 na mmefanya pepa 48 bado kuna watu wanaweza wasiwepo vile vile kwenye placement..nmeshuhudia hilo kupitia intavyu nlofanya tulifanya kwa ratio io io lakin kuna watu wakakosa vilevile
 
Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.

Ngoja upokee 📞📲, upate na fursa ya kucheza na wanafunzi wako,. 🤣😂
Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi🤣🤣🤣
 
Kuna jamaa waliosomea "cuba", wanajua mpaka namna ID fulani inavocheka, 🤣🤣🤣.

Wataunga michango mitatu katika nyuz tofauti, utajulikana mapeema.
 
Jamani msibishane hapo kwenye wote kupata kazi asilimia kubwa kazi za TRA (ICT) wanaoingiaga ORAL wote huwa wanalamba asali wazeee hao jamaaa wanahitaji kupata hamsini (50) Tu basi wakale maisha

Ni kweli mkuu muhimu ni kufikia kiwango cha ufaulu tu, sababu nafasi zimezidi watu waliochaguliwa.
 
Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.

Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓

Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Hahahahaaa, mimi siondoki mkuu hata kama nikipata mrija wa Asali.
 
We mzee hautapotea, najua utajikataa kama umepata, halafu, utaanza kuchangia kutoa uzoefu zaidi ya nn kifanyike kuwakanda wakandaji.

Ukishashikika na majukumu kukabiliana na madudu ya halmashauri huko, utapotea kabisaa, mara chache utaonekana kwa Rickboi
Katika furaha ninayoisubiri ni kuona jina langu kwenye placement na furaha hiyo lazima niioneshe humu humu.

Kila nilipokuwa nakandwa nilileta mrejesho humu na nilipobahatika kufika oral, nilishare hiyo furaha pia humu.

Sitajitendea haki ya kufurahi humu pamoja na jobless wengine kama nitapata mrija na kukaa kimyaa au nidanganye.

Tuombe Mungu nipate mrija iwe NAOT ninayoisubiri au taasisi nyingine, nitashare hapa hiyo furaha pamoja nanyi humu
 
Kwa Rickboy Nina kama mwezi sijatembelea kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwaka jana wote sijatembelea kabisa huko ingawa nauona unatrend sana, nilishautembelea kipindi cha miaka ya 2019 kurudi nyuma
 
Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.

Ngoja upokee [emoji338][emoji390], upate na fursa ya kucheza na wanafunzi wako,. [emoji1787][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika furaha ninayoisubiri ni kuona jina langu kwenye placement na furaha hiyo lazima niioneshe humu humu.

Kila nilipokuwa nakandwa nilileta mrejesho humu na nilipobahatika kufika oral, nilishare hiyo furaha pia humu.

Sitajitendea haki ya kufurahi humu pamoja na jobless wengine kama nitapata mrija na kukaa kimyaa au nidanganye.

Tuombe Mungu nipate mrija iwe NAOT ninayoisubiri au taasisi nyingine, nitashare hapa hiyo furaha pamoja nanyi humu
Mungu yu pamoja na wenye kusubir.
 
Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule hakuna 30 ila utaangukia kwa PCCB
 
Kuna jamaa waliosomea "cuba", wanajua mpaka namna ID fulani inavocheka, [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wataunga michango mitatu katika nyuz tofauti, utajulikana mapeema.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili

Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .

Ila server ile ilikua locally ni kupiga win+r \\ tia ip imekuja
 
Back
Top Bottom