meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,353
- 2,924
Subiri matokeo Mkuu utakula asaliUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .