MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)Duh! Mkuu umesomea nini kwa mfano?
Masuala ya mapishi au?
Navuta picha ni kozi gani hizo, naona haiji.
Au uendelee kuvuta subira, watawaita tu. Kwa sababu kwa uzoefu mfumo wa ajira portal umeundwa kwa kujumuisha vyuo vyote vinavyotambulika pamoja na kozi zinazotolewa kwenye hivyo vyuo.
Hii course mwaka 2022 nafasi zilitoka labda hukufuatilia.Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Ocean road waliita watu kazini juz juz hapo,Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Tumeitwa 59 tunapambania nafasi 26
Ratio nzuri, kapambane then ifikapo April/May urakuwa ndani ya kidimbwi cha TRA[emoji3][emoji3]Tumeitwa 59 tunapambania nafasi 26
Nafasi za TAEC, Medical Physist, TARI kijana wetu(wizy) aliyetukimbia alifanya mikando huko kote.Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Kwenye hiyo ratio wamezidi watu 7 tu, wakapambane, watu 2 ndio watakuwa wanaipambania nafasi 1 halafu hao 7 watakuwa wanavizia watakaofanya uzembe wanawapindua [emoji3][emoji3][emoji3]Hapo unatoboa kaka, ratio nzuri sana. Sio exactly 1:2 lkn inakaribia.
Hongera sana.
Ndio nimemaliza mwaka huu mkuu😆.Nafasi za TAEC, Medical Physist, TARI kijana wetu(wizy) aliyetukimbia alifanya mikando huko kote.
Sifa mojawapo ilikuwa ni Bachelor ya Physics kwenye nafasi zile.
Wewe hukuwahi kuziona hizo nafasi?
Itabid nikachukue cheti sasa nitege mingoOcean road waliita watu kazini juz juz hapo,
Sorry mkuu we ni Manusura(mlambo)?Ocean road waliita watu kazini juz juz hapo,
hii kozi tulikuwa tumesahaulika kama ni hiv ngoja tuzidishe dua.Hii course mwaka 2022 nafasi zilitoka labda hukufuatilia.
SijakuelewaSorry mkuu we ni Manusura(mlambo)?
Amen tuimbeane wakuuRatio nzuri, kapambane then ifikapo April/May urakuwa ndani ya kidimbwi cha TRA[emoji3][emoji3]
kuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.hii kozi tulikuwa tumesahaulika kama ni hiv ngoja tuzidishe dua.
Hongera sana, Mungu awe naweKaka pamoja na yote namshukuru Mungu nimetoboa kuingia oral Mungu amekua upande wangu.
Na kwanini usome kozi Kama hiyo?kuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.
kipindi vijana wanaichagua wengi hawajui kama kutakuwa na changamoto baadaye za kukosa kazi.Na kwanini usome kozi Kama hiyo?
Hii ata mm ili ilinikuta wakati na apply environment science udom nikapelekwa, bachelor of science ICT MCD (cive) hii program nilikuwa cijui na Pia ni mpya tz, ni Udom pekee wanafundisha Nchi nzima . Kibaya zaidi wamebadisha jina la hii program , juzi niliona wakandaji wamepost wanataka ta 1 wa hiyo program.Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Sawa mkuu karibu sana kwenye hii ungwe ya wasaka mirija ya Asali.Ndio nimemaliza mwaka huu mkuu[emoji38].
Ngoja nitege sikio
Ni kosa pia mnaochagua kozi za kusoma pindi mnapoomba vyuo.kuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.