Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh! Mkuu umesomea nini kwa mfano?

Masuala ya mapishi au?

Navuta picha ni kozi gani hizo, naona haiji.

Au uendelee kuvuta subira, watawaita tu. Kwa sababu kwa uzoefu mfumo wa ajira portal umeundwa kwa kujumuisha vyuo vyote vinavyotambulika pamoja na kozi zinazotolewa kwenye hivyo vyuo.
Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
 
Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Hii ata mm ili ilinikuta wakati na apply environment science udom nikapelekwa, bachelor of science ICT MCD (cive) hii program nilikuwa cijui na Pia ni mpya tz, ni Udom pekee wanafundisha Nchi nzima . Kibaya zaidi wamebadisha jina la hii program , juzi niliona wakandaji wamepost wanataka ta 1 wa hiyo program.
Na post nyingi za ICT zinazopistiwa inakataa ku apply.
WITO.
1. nacte msilazimishe kuwapangia watu programs, wacheni wakapambane nazo mbele ya safari Kwa sababu wanazipenda kutoka moyoni.

2. wizara ipitie tena, programs zinazofundishwa vyuoni kuna programs post za jobs zinatoka chache mno , na zingine hazitoki kabisa Yan
 
kuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.
Ni kosa pia mnaochagua kozi za kusoma pindi mnapoomba vyuo.

Inabidi kozi uijue kwa undani kabla ya kuiomba.

Yeyote aliye chini yako akitaka muongozo wa nini cha kusoma chuoni, mpe muongozo mzuri kuepuka hii sintofahamu unayopitia wewe
 
Back
Top Bottom