Ndio nimemaliza mwaka huu mkuu😆.
Ngoja nitege sikio
Hii kitu nilisia bungeni kbs kuna mp mmoja alizisemea hizi koziBachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Comments km hizi zinatupa moyo sisi jobless[emoji16]ubarikiwe.Wadau kufeli usaili ni kawaida ila tusichoke kujaribu kila tunapopata nafasi, kiuhalisia ni wachache sana ambao wamefanya saili moja na wakatoboa mpaka placement na hao watu wakati wao ulikuwa umefika.
Wengi wetu humu tumefeli written nyingi tu na hatuachi kujaribu na tumefika oral tukakosa placement na hatuchoki kujaribu pia, na tunaendelea kusibiri placement na hatuchoki kujaribu.
Kuna nguvu kubwa sana katika uthubutu... Tuthubutu tusiache kujaribu huenda ile ambayo unayoona wewe usijaribu kwasababu umekandwa sana ndio ikawa yako, wengi mashuhuda.
Tuendelee kuthubutu na Mungu atatenda tu katika katika wakati husika.
Me nipo sana tu, nimeshazoea kusoma text zote humu, ni kama nimekuwa addicted vileKutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.
Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓
Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Tuendelee kusubiriVipi Leo hamna New kwenye Placements?
Namshkur mungu hlo nililiona mapema sana mpaka nikaondoa hiyo program kwenye machaguo yangy Pale IFMkuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.
Hapana, hayana msaada wowote ila unaweza kuweka tu for your own privilegeWadau . Hv Yale makolokolo mengine wanayotaka tujaze kwenye portal kama unayo mfano.. Muombaji kama uliwahi kusoma shortcourse like Computer.. na training Mbalimbali. So ukipachika kule kwenye mfumo ziko na Advantages yoyote ya kupata mrija wa Asali..?
Hakuna Advantage yeyote zile ni mbwembwe tuuWadau . Hv Yale makolokolo mengine wanayotaka tujaze kwenye portal kama unayo mfano.. Muombaji kama uliwahi kusoma shortcourse like Computer.. na training Mbalimbali. So ukipachika kule kwenye mfumo ziko na Advantages yoyote ya kupata mrija wa Asali..?
Ziwe ni ID mpya kweli kweli na sio kama WkingzKadiri siku znavyokwenda naona ID mpya znaongezeka kwenye huu uzi ni jambo zur sana kuufanya huu uzi usipoteze uhai wake[emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Hahaha kwaio Wkingz sio ID mpya,Ziwe ni ID mpya kweli kweli na sio kama Wkingz
Mkuu niweke na mm kwenye list maana nimfuatiliaji mzuri wa UziKutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.
Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓
Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Nakuomba siku ukijua kua mm sio wizy uombe msamaha, hilo tu. Tenaa mbele ya umma.Ziwe ni ID mpya kweli kweli na sio kama Wkingz
Hapo ni chupa mpya yenye pombe ile ileHahaha kwaio Wkingz sio ID mpya,
Ukitaka nifanye hivyo njoo na ID ya wizy. Simple tuNakuomba siku ukijua kua mm sio wizy uombe msamaha, hilo tu. Tenaa mbele ya umma.
kuja na ID ya wizy nikama kufata barua utumishi na jina kwenye pdf halipo.Ukitaka nifanye hivyo njoo na ID ya wizy. Simple tu
Wkingz vip una received au unasubiria placement?kuja na ID ya wizy nikama kufata barua utumishi na jina kwenye pdf halipo.