Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wadau kufeli usaili ni kawaida ila tusichoke kujaribu kila tunapopata nafasi, kiuhalisia ni wachache sana ambao wamefanya saili moja na wakatoboa mpaka placement na hao watu wakati wao ulikuwa umefika.
Wengi wetu humu tumefeli written nyingi tu na hatuachi kujaribu na tumefika oral tukakosa placement na hatuchoki kujaribu pia, na tunaendelea kusibiri placement na hatuchoki kujaribu.
Kuna nguvu kubwa sana katika uthubutu... Tuthubutu tusiache kujaribu huenda ile ambayo unayoona wewe usijaribu kwasababu umekandwa sana ndio ikawa yako, wengi mashuhuda.
Tuendelee kuthubutu na Mungu atatenda tu katika katika wakati husika.
Comments km hizi zinatupa moyo sisi jobless[emoji16]ubarikiwe.
 
Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.

Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓

Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Me nipo sana tu, nimeshazoea kusoma text zote humu, ni kama nimekuwa addicted vile
 
Wadau . Hv Yale makolokolo mengine wanayotaka tujaze kwenye portal kama unayo mfano.. Muombaji kama uliwahi kusoma shortcourse like Computer.. na training Mbalimbali. So ukipachika kule kwenye mfumo ziko na Advantages yoyote ya kupata mrija wa Asali..?
 
kuna hii kozi ya bachelor of science in social protection....hii mpaka kuna mbunge aliigusia bungeni...ajira zake adimu sana. Kusomesha watu halafu mfumo wa ajira hauwatambui ni kazi.
Namshkur mungu hlo nililiona mapema sana mpaka nikaondoa hiyo program kwenye machaguo yangy Pale IFM
 
Wadau . Hv Yale makolokolo mengine wanayotaka tujaze kwenye portal kama unayo mfano.. Muombaji kama uliwahi kusoma shortcourse like Computer.. na training Mbalimbali. So ukipachika kule kwenye mfumo ziko na Advantages yoyote ya kupata mrija wa Asali..?
Hapana, hayana msaada wowote ila unaweza kuweka tu for your own privilege
 
Wadau . Hv Yale makolokolo mengine wanayotaka tujaze kwenye portal kama unayo mfano.. Muombaji kama uliwahi kusoma shortcourse like Computer.. na training Mbalimbali. So ukipachika kule kwenye mfumo ziko na Advantages yoyote ya kupata mrija wa Asali..?
Hakuna Advantage yeyote zile ni mbwembwe tuu
 
Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.

Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓

Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Mkuu niweke na mm kwenye list maana nimfuatiliaji mzuri wa Uzi
#Jobless

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom