Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaha apa No comment kaka, coz nikitaj tasisi pdf ikitoka ntajulikana kirahis sana kwa nature ya nafasi, na mm napenda privacy
Unahofia nini? Mbona sisi wengine watu wanatujua hadi kwenye pdf tunasomeka vipi. Lakini hayo ni maamuzi ya mtu pia.. kila la heri kwenye kusubiri kuvuta mrija wa asali.
 
Unahofia nini? Mbona sisi wengine watu wanatujua hadi kwenye pdf tunasomeka vipi. Lakini hayo ni maamuzi ya mtu pia.. kila la heri kwenye kusubiri kuvuta mrija wa asali.
Ukweli ni kwamba kama ningekuja umu na nikapokelewa kama any normal new ID. Leo ninge mention taasis nayo isubiri, but pressure niliopokea ya kufananishwa na wizy imenipa uwoga kidogo na sijui kijana alikutwa na nn sometime ata kufananishwa nae huwez jua kuna weza ni gharimu pia , naona ni better niwe na privacy kwa ii situation nilioikuta.
 
Ahaa poa kaka usijali hata nini, endelea kuvuta subira na kuomba Mungu uingie mrijani. Karibu pia katika Uzi wetu pendwa ambao una historia ndefu na nzuri.
 
Placement zitoke tu jobless wakikosa cha kuandika wanarudi kwa mwamba @wkingz😂😂😂
Unajua wizy alikuwa kivutio sana Kwa watu kwenye huu Uzi.

Alikuwa muumini mzuri wa status, na alikuwa akiamini status zina maana. Sasa siku placement aliyokuwa anaisubiria inatoka, watu walitamani kujua mrejesho wa status. Baada tu ya ile placement akapotea ghafla na hadi leo hajarudi tena.

Binafsi namkumbuka sana mwamba wizy coz alinipa sana moyo, nilipoonyesha tu wasiwasi aliniambia wewe iyo kazi yako andaa suti ya kwenda kuchukua barua Dom. Nilitamani nayeye angekuwa amepata mzee wa baba Jeni bye bye...
 
Sawa, kula maisha mkuu.

Usisahau Subaru pia, tumeiimba sana humu
Mtu kama mwifwa kwenye normal life pia inaonekana huwa huelew,
Sawa, kula maisha mkuu.

Usisahau Subaru pia, tumeiimba sana humu
Kijana kama huyu huwa haelew kabisa nahisi hadi maisha halisi ya kitaa mwamba ni mgumu kuelewa. JAMAN MM SIO WIZYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
 
Yeye kashapata pale ORCI, kaamua tu kukimbia(kuacha ID ya wizy na kuja kwa ID nyingine).
 
Hahahaha ila Wizy alikua na upumbavu mwingi sana sijajua umri wake ila nahisi alikua early twenties utoto ulikua mwingi sana. Baba Jeni Bye bye
 
Mtu kama mwifwa kwenye normal life pia inaonekana huwa huelew,

Kijana kama huyu huwa haelew kabisa nahisi hadi maisha halisi ya kitaa mwamba ni mgumu kuelewa. JAMAN MM SIO WIZYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
Sasa unataka niite koleo/sepetu kijiko kikubwa?
 
Usikae tamaa ipo siku tutapata.
 
Una uhakika gani kapata? Mimi na uhakika kama angepata angekuwa humu, tena kwa furaha. Mimi nahisi alikosa ndio kwa akaona bora hata asije tena
Yeah kama wameweza kusema wana uhakika mim ni wizy 100% sijui kama watakuelewa ukisema hajapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…