Hahahahahhaha😅😅😅😅😅😅,
Halafu kaka hujasoma text zangu zote nahisi. nimesema ningechukuliwa kama normal member with new ID ningesema na subir taasis gani na post gani ila siwez kulingana na pressure niliokutana nayo humu ndani.
Niki mention taasis, post ina ratio ya 1:3 wanawake 2 mwanaume 1 waliotwa oral, akapata mwanaume kazi huwezi jiongeza tu, boy kuna watu wanajua kufukua makabur just kumention taasis unaweza kuta ushafahamika na kama nilivosema kulingana na nature ya post yangu itakua rahisi mtu kunifaham.
Pia mshanifananisha na wizy na alikua active member kapotea from nowhere, hakuna anaejua sababu nini, kitendo cha kunifananisha na mtu ambae sijui mapito yake na situation aliyopo sasa napaswa kua na privacy.