Kwenye uzi wa kimasihara sijawahi kuchangia kwa kutoa kisa kwani sina hicho kisa zaidi tu nilikuwa nachangia kufurahishwa na hivyo visa.
Nina muda mrefu sana sijatia mguu kwenye ule uzi pamoja na kuoona ukiwa unatrend mara kwa mara
Bachelor of science in physics( kumbuka huu sio ualimu)
Ndio nimemaliza mwaka huu mkuu[emoji38].
Ngoja nitege sikio
Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.
Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓
Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Karibu mkuuBoss naomba nikuone PM
Nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu, naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie.
Hivi kwa wale waliosoma bachelor zaidi ya moja na zinazoingia kwenye category tofauti wanawezaje kuruhusiwa kufanya maombi kwa nafasi za pande zote mbili?
Kwa mfano, mtu ana degree ya Journalism na nyingine ya Accountancy, je anawezaje kuwa na nafasi ya kuomba kazi za aina zote mbili?
Au ni mwanasheria na ana CPA, je anaweza vipi kuomba za sheria na za uhasibu?
Simple logic ni kuwa(pamoja na kuwa ushatambulika) kama usingekuwa wewe(wizy) usingehangaika kujitetea na wala usingehangaika kudokeza mambo aliyokuwa anayapenda kuyasema humu huyo wizy(wewe).Siwez tumia nguvu kuelezea mm sio yey coz ww upo kwenye situation ya msemo hu.
""Ears that do not listen to advice, accompany the head when it is chopped off”.
Endelea kusubiri, Hakika mwenyezi mungu yu pamoja na wenye kusubiri.
“One falsehood spoils a thousand truths"Simple logic ni kuwa(pamoja na kuwa ushatambulika) kama usingekuwa wewe(wizy) usingehangaika kujitetea na wala usingehangaika kudokeza mambo aliyokuwa anayapenda kuyasema humu huyo wizy(wewe).
Logic kiformula iko hivi:
F + F = T (Tulisoma kwenye Addition Maths(Olevel) na BAM(Advance), wale wa Pure Maths huwa wanaisoma kwa undani zaidi)
Uongo ukirudiwa mara nyingi unakuwa ukweli, sasa wewe umejaribu tukuongepea kwa nguvu zote kuwa sio wizy, ila tayari tushatambua wewe ni wizy.
Ishu ni system tu, je inaruhusu kujaza hizo degree za kwanza zote 2 tofauti?Ndugu mwanasheria wa uzi Professor Mwifwa, na wengine wote akiwemo @Prok tunaomba ufafanuzi.
Kula maisha mkuu“One falsehood spoils a thousand truths"
Jitathimini....
Ishu ni system tu, je inaruhusu kujaza hizo degree za kwanza zote 2 tofauti?
Maana post ikiletwa hiyo system ya PSRS huwa inadetect qualification ulizojaza kama zinaendana na zilizoandikwa kwenye post.
Mara nyingi equavalent qualification zilikuwa zinazingua sana kutokana na system kutodetect hizo sifa.
Pia nimekumbuka kuna mtu alikuwa anadegree halafu amesoma udereva na ana cheti cha NIT, sasa alitaka aombe nafasi za udereva, niliona kashauriwa afute sifa za taaluma nyingine ili aweke sifa za udereva pekee ndipo aweze kuomba nafasi ya udereva. Kwa mantiki hiyo kama system inakubali sifa tofauti huyo jamaa asingehangaika kufuta hizo sifa za degree ili abakishe sifa za udereva.
Nimewaza hivi, wengine wajazie nyama
Kwa uzoefu wangu language ulizokutana nazo kwenye written , basi utachagua moja wapo kujibia practical.Kwa wale ambao washawahi kufika hatua ya practical kwa upande wa ICT developer kule mnatumia language gan na sample ya maswali inakuaje
Hahahahahhaha😅😅😅😅😅😅,
Halafu kaka hujasoma text zangu zote nahisi. nimesema ningechukuliwa kama normal member with new ID ningesema na subir taasis gani na post gani ila siwez kulingana na pressure niliokutana nayo humu ndani.
Niki mention taasis, post ina ratio ya 1:3 wanawake 2 mwanaume 1 waliotwa oral, akapata mwanaume kazi huwezi jiongeza tu, boy kuna watu wanajua kufukua makabur just kumention taasis unaweza kuta ushafahamika na kama nilivosema kulingana na nature ya post yangu itakua rahisi mtu kunifaham.
Pia mshanifananisha na wizy na alikua active member kapotea from nowhere, hakuna anaejua sababu nini, kitendo cha kunifananisha na mtu ambae sijui mapito yake na situation aliyopo sasa napaswa kua na privacy.
Kaka mbona mzito kuelewa embu pitia iyo text yote tena kwa mara ya pili,Humu asilimia kubwa wanaosubiri placememt, ratio ndio hyo 1:3.
Ni post chache sana kama za Tra kwa watu wa ICT kama sijakosea ndio ratio ni 1:1 .
Kwenye hii thread hatufichani taarifa kama hizo, muhimu ni kuweza kusaidiana na kupeana moyo ili wote tuweze kutoboa mkuu.
Nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu, naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie.
Hivi kwa wale waliosoma bachelor zaidi ya moja na zinazoingia kwenye category tofauti wanawezaje kuruhusiwa kufanya maombi kwa nafasi za pande zote mbili?
Kwa mfano, mtu ana degree ya Journalism na nyingine ya Accountancy, je anawezaje kuwa na nafasi ya kuomba kazi za aina zote mbili?
Au ni mwanasheria na ana CPA, je anaweza vipi kuomba za sheria na za uhasibu?
Mbona hata mwandiko wako unafananiaMtu kama mwifwa kwenye normal life pia inaonekana huwa huelew,
Kijana kama huyu huwa haelew kabisa nahisi hadi maisha halisi ya kitaa mwamba ni mgumu kuelewa. JAMAN MM SIO WIZYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
Hahahahahahha kwaio hii kali sasa adi uku jamii forum kuna mwandiko,Mbona hata mwandiko wako unafanania
Sio mwandiko kaka aina ya uandish wa maneno, sio mimi tu ana fanana adi na ww jinsi anavo andika maneno yake.Mbona hata mwandiko wako unafanania